PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna Nyumbu mwenzenu nimewasaidia polisi kumpeleka akhera baada ya kumkuta anavunja duka nilimchapa rungu 1 tu ya kichwa
Thubutuu ulivyolegea mla urojo wewe nguvu hata za kushika rungu utoe wapi?

Wewe nyoko muoga km mbwa KOKO kazi yako kubweka humu na kusubiri viposho vya vocha..!!
 
Tatizo haya maandamano hukumba hata wasiohusika huweza kupigwa shaba, vibaka, majizi na hata magaidi na majambazi hujichanganya kwa waandamanaji na kufanya mambo yao! Ni ngumu kujua muandamanaji na mpita njia, hawa wajuba hawatabiriki.

Na kweli, tumeona polisi wakiingia sebuleni kwa watu kuua
 
Kama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
Tarehe 27/10/2025 siku mbili kabla ya siku ya giza kufika Tanzania yaani siku ya uchaguzi 29/10/2025 Askofu Josephat Gwajima alitoka na kutoa hotuba moja nzuri iliyokuwa inamwonya Samia Suluhu Hassan kuacha njia mbaya aliyokuwa anaiendea, lakini hakujali na hakuelewa na aliamua kusonga mbele na kujitangaza mshindi na Rais bila ridhaa ya wenye nchi

Moja ya maneno yenye hekima ya Askofu Gwajima kwenye hotuba yake yalikuwa haya;

"....Hebu fikirI. Kwamba, kiongozi wa umma unaishi kwenye nyumba (mansion) nzuri, imezungushiwa ukuta mrefu, nyaya za umeme na mbwa wakubwa na wakali wakilinda, CCTV Camera na kila aina ya ulinzi. Ndani una kila kitu, watoto wako wanakula chochote watakacho na kusaza na kutupa kingine jalalani. Mbaya zaidi ni kuwa, watu wanajua na kutambua fika kuwa maisha hayo ya anasa unayoishi, hayajatokana na juhudi yako ya kazi za mikono yako na kisha Mungu akakubariki bali umejipatia maisha hayo ya anasa kwa njia za ujanja ujanja, kuibia na wananchi kwa njia mbalimbali. Kilicho kibaya ni kuwa huko nje, wewe kiongozI umezungukwa na watu masikini, wasio na uwezo wa kula hata mlo mmoja kwa siku na wanalalamika na kuishutumu serikali na viongozi wake kuwa haiwajali na inawakandamiza. Hawa watu ipo siku watajipanga 10,000 na kuja nyumbani kwako na kuruka ukuta. Utawapiga na kuwaua 50 au 100 lakini 900 wataingia ndani na kukukamata na kukuchinja wewe, watoto wako na kuharibu au kukunyang'anya na kuchukua kila ulichonacho..."

Hii statement iliniingia sana mimi na nilimwelewa vyema Askofu Josephat Gwajima. Laiti na Bi Samia angemwelewa, asingefika hapa alipofika!

Lakini haikupita siku hata nne, yakatokea tarehe 29/10/2025 na kuendelea. Genocide, mauaji ya kimbari!

Bahati mbaya, mpaka sasa viongozi wa serikali hii chini ya CCM na Samia bado wameshupaza shingo, wamezibwa akili na ufahamu wao, hawaoni ubaya wa wanayotenda. Wanaendelea kutembea kwenye njia hiyohiyo walioikosea tangu mwanzo.

Hawataki kukiri na kutubu makosa yao ili Mungu aachilie hasira na ghadhabu ya hukumu yake

Wanajiona wako salama sana kwa kuwa wana polisi, jeshi na bunduki za kuulia. WANAJIDANGANYA!!

Wananchi watajikusanya kwa maelfu nchi nzima. Watamfuata kiongozi mmoja baada ya mwingine hadi watawakamata wote.

Watakusanyana watu 100,000. Utapiga risasi 100, 500, 1000 lakini trust me, hawa 99,000 watakufikia na kukukumata, kukuua wewe na familia na mali zako zote!

Vita hii bado mbichi sana. Infact, ndo tu imeanza na nakuhakikishia jambo moja, UMMA UTASHINDA 100%!

Asomaye na afahamu
 
Usidanganyane wewe na nani?

Katafute mwenzio wa kudanganyana nae sio mimi.

Halafu maandamano ni issue binafsi sio kumlazimisha mtu kinguvu.

Ndio maana hata yaliyoisha kuna watu walitoka na kuna wengine walibaki ndani wamejifungia.

Kila mtu anajua risasi haina mbadala lakini kila mtu ana maamuzi yake binafsi.

Nikitaka na kuamua kwa moyo mmoja kutoka hata ukinielea kifaru mbele nitatoka tu.

Na kama sijaamua hata usipoweka kifaru sitatoka.

Na kama nimeamua nisitoke hata usiponiwekea kifaru sitatoka.
Siku Ile mbona hukutoka?
 
Tarehe 27/10/2025 siku mbili kabla ya siku ya giza kufika Tanzania yaani siku ya uchaguzi 29/10/2025 Askofu Josephat Gwajima alitoka na kutoa hotuba moja nzuri iliyokuwa inamwonya Samia Suluhu Hassan kuacha njia mbaya aliyokuwa anaiendea, lakini hakujali na hakuelewa na aliamua kusonga mbele na kujitangaza mshindi na Rais bila ridhaa ya wenye nchi

Moja ya maneno yenye hekima ya Askofu Gwajima kwenye hotuba yake yalikuwa haya;

"....Hebu fikirI. Kwamba, kiongozi wa umma unaishi kwenye nyumba (mansion) nzuri, imezungushiwa ukuta mrefu, nyaya za umeme na mbwa wakubwa na wakali wakilinda, CCTV Camera na kila aina ya ulinzi. Ndani una kila kitu, watoto wako wanakula chochote watakacho na kusaza na kutupa kingine jalalani. Mbaya zaidi ni kuwa, watu wanajua na kutambua fika kuwa maisha hayo ya anasa unayoishi, hayajatokana na juhudi yako ya kazi za mikono yako na kisha Mungu akakubariki bali umejipatia maisha hayo ya anasa kwa njia za ujanja ujanja, kuibia na wananchi kwa njia mbalimbali. Kilicho kibaya ni kuwa huko nje, wewe kiongozI umezungukwa na watu masikini, wasio na uwezo wa kula hata mlo mmoja kwa siku na wanalalamika na kuishutumu serikali na viongozi wake kuwa haiwajali na inawakandamiza. Hawa watu ipo siku watajipanga 10,000 na kuja nyumbani kwako na kuruka ukuta. Utawapiga na kuwaua 50 au 100 lakini 900 wataingia ndani na kukukamata na kukuchinja wewe, watoto wako na kuharibu au kukunyang'anya na kuchukua kila ulichonacho..."

Hii statement iliniingia sana mimi na nilimwelewa vyema Askofu Josephat Gwajima. Laiti na Bi Samia angemwelewa, asingefika hapa alipofika!

Lakini haikupita siku hata nne, yakatokea tarehe 29/10/2025 na kuendelea. Genocide, mauaji ya kimbari!

Bahati mbaya, mpaka sasa viongozi wa serikali hii chini ya CCM na Samia bado wameshupaza shingo, wamezibwa akili na ufahamu wao, hawaoni ubaya wa wanayotenda. Wanaendelea kutembea kwenye njia hiyohiyo walioikosea tangu mwanzo.

Hawataki kukiri na kutubu makosa yao ili Mungu aachilie hasira na ghadhabu ya hukumu yake

Wanajiona wako salama sana kwa kuwa wana polisi, jeshi na bunduki za kuulia. WANAJIDANGANYA!!

Wananchi watajikusanya kwa maelfu nchi nzima. Watamfuata kiongozi mmoja baada ya mwingine hadi watawakamata wote.

Watakusanyana watu 100,000. Utapiga risasi 100, 500, 1000 lakini trust me, hawa 99,000 watakufikia na kukukumata, kukuua wewe na familia na mali zako zote!

Vita hii bado mbichi sana. Infact, ndo tu imeanza na nakuhakikishia jambo moja, UMMA UTASHINDA 100%!

Asomaye na afahamu
Hapo ni sudan kusini.
 
Attachments

  • FB_IMG_1762454352881.jpg
    FB_IMG_1762454352881.jpg
    76.6 KB · Views: 21

God bless Gen Z !
 
Bado hamjajifunza namna maandamano yalivyosababisha fitna na mabalaa kwetu. Nimejifunza kitu, kwa yaliyotokea na kwa jinsi nilivyoona kwenye baadhi ya vyombo vya habari vya nje hasa vya Kenya, nimeamini kuna hujuma Tanzania inafanyiwa, na Allah ni Mjuzi zaidi. Ninamuomba Allah Ailinde nchi yetu na Aidumishe Amani yetu.

Damu za ndugu zetu hazijawatosha. Na uharibifu wote uliotokea hayajawatosha, mnataka muichome nchi yetu zaidi na watu wafe halafu msambaze picha za maiti zao kuudhalilisha utu wao zaidi, mnataka kutimiza malengo yenu kwa damu zetu na heshima zetu. Nyinyi sio watu wazuri kabisa.
Nchi yenu ipi ww Mzenji usiye na chogo! Hii ni nchi ya watanganyika sio kwenu hapa hatuwataki hapa bara rudini kwenu visiwani.

Et Allah atulinde, taahira nn ugaidi wenu huo pelekeni misikitini huko Idiot!
 
Tarehe 9/12 nimeona kuna maandamano makubwa sana kuliko yaliyopita nime thibitisha hilo ufisadi hautakiwi kutunikiwa tuzo bali mapambano. Wazee, watoto, kwa vijana wataandamana wote.

Nunua vitu vya msingi weka ndani kuwa na umeme wa ziada, tumia huduma za internet za kimataifa badala ya zile za mitandao ya Tanzania ambazo zinaweza kuzimwa kwa vitisho na mafisadi.
 
Back
Top Bottom