Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Thread starter
- #381
Hawa Gen Z hawapoi, nakumbuka wakati wanaratibu maandamano ya MO29,;walikuwa wanajitapa kuwa watachoma vituo vya mafuta.
Albert Chalamila kama kawaida yake akaja mbio mwendo wa ngiri mkia juu, na kujitapa kuwa kama Kuna anayejipenda adhubutu aone.
Sote ni mashahidi vituo vingi vya mafuta vilipigwa kiberiti.
Sasa maandamano ya tarehe 09/12/2025 Gen Z wamesema watawatembelea wafuatao
-Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa.
- Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu
-Nyumbani Kwa Nassoro Katuga
- Wasafi media
Here we go