Genius Man
JF-Expert Member
- Apr 7, 2024
- 3,558
- 7,935
ujumbe ufike
JWTZ sasahivi ni sawa na mlenda au joka la kibisa, majitu majinga na malofa ..Hayaa maandamano wakijimix kuweka JWTZ watuzuie basi wajue ikulu magogoni tunagusa asubuhi tuTunafahamu wanajeshi wataingia mitaani ili kuzuia jambo hili na sio polisi kwa wingi ule, ila sisi kama watanganyika tutajitahidi kulinda Tanganyika yetu dhidi ya waovu wote waliothibitishwa na serikali.
Mkuu kwamba wamebeba matoi risasi zimefungiwa kambi za songea huko unaambiwa.JWTZ sasahivi ni sawa na mlenda au joka la kibisa, majitu majinga na malofa ..Hayaa maandamano wakijimix kuweka JWTZ watuzuie basi wajue ikulu magogoni tunagusa asubuhi tu
Yanatembea na toys kama majinga, kazi kunywa bia za 800 jeshini na kusumbua raia..Mkuu kwamba wamebeba matoi risasi zimefungiwa kambi za songea huko unaambiwa.
Nikuvaa nguo nyeupe tu siku hiyo! Tunapumzika mwezi mmoja tu we are back like never b4Tarehe 9/12 nimeona kuna maandamano makubwa sana kuliko yaliyopita nime thibitisha hilo ufisadi hautakiwi kutunikiwa tuzo bali mapambano. Wazee, watoto, kwa vijana wataandamana wote.
Nunua vitu vya msingi weka ndani kuwa na umeme wa ziada, tumia huduma za internet za kimataifa badala ya zile za mitandao ya Tanzania ambazo zinaweza kuzimwa kwa vitisho na mafisadi.
Mbaga Jr ulikuwa mstari wa mbele na wengineo kuwaponda watanganyika kuwa hawato andamana tarehe 29 Octoba, mpaka ukawa una post picha ya maandamano kuwa yatafanyika mitandaoni. Matokeo yake ikawa tofauti. Ni jambo gani limekufanya ubadilike ghafla? Napenda kujua kwa faida ili nijifunze kituTunafahamu wanajeshi wataingia mitaani ili kuzuia jambo hili na sio polisi kwa wingi ule, ila sisi kama watanganyika tutajitahidi kulinda Tanganyika yetu dhidi ya waovu wote waliothibitishwa na serikali.
Maandamano yawe ya AMANI yataungwa mkono na watu wengi na mtu akitaka kuchoma property adhibitiwe papo hapo.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Endelea kuota huko ulipo lakini usisahau kwenda kubeba mabox yako.Tarehe 9/12 nimeona kuna maandamano makubwa sana kuliko yaliyopita nime thibitisha hilo ufisadi hautakiwi kutunikiwa tuzo bali mapambano. Wazee, watoto, kwa vijana wataandamana wote.
Nunua vitu vya msingi weka ndani kuwa na umeme wa ziada, tumia huduma za internet za kimataifa badala ya zile za mitandao ya Tanzania ambazo zinaweza kuzimwa kwa vitisho na mafisadi.
Wewe na kandambili zako angalia usije yakakukuta ya siku ile!?Tunafahamu wanajeshi wataingia mitaani ili kuzuia jambo hili na sio polisi kwa wingi ule, ila sisi kama watanganyika tutajitahidi kulinda Tanganyika yetu dhidi ya waovu wote waliothibitishwa na serikali.
Hakuna sheria inayoruhusu kitu kama hicho lazima mtoa huduma ya Internet asajiriwe TZTunapataje huduma za internet kutoka nje mbali na hizi za Tz?
Hii ndio karata bora zaidi Watanzania tunapaswa kuanza nayo.
umeishia darasa la ngapi ?Hakuna sheria inayoruhusu kitu kama hicho lazima mtoa huduma ya Internet asajiriwe TZ
La piliumeishia darasa la ngapi ?
Tatizo hilo kakaHakuna sheria inayoruhusu kitu kama hicho lazima mtoa huduma ya Internet asajiriwe TZ
nyie machoko mnalinda ujambazi wenu mnaoutekeleza kwenywe ardhi ya Tanganyika na si vinginevyo watanganyika tutajilinda wenyeweTunafahamu wanajeshi wataingia mitaani ili kuzuia jambo hili na sio polisi kwa wingi ule, ila sisi kama watanganyika tutajitahidi kulinda Tanganyika yetu dhidi ya waovu wote waliothibitishwa na serikali.
Nchi zote duniani zinafuata sheria hiyo. Huwezi ukatoa huduma yoyote kwenye nchi husika bila kusajiriwa kwenye nchi hiyo.Tatizo hilo kaka