PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Acha kupiga kelele kama mtu anaetatuliwa linda kwa nini Rais hataki kukaa chini kuzungumza na hao watu Rais mwenye kajichagua haiachaguliwa na, watu alafu analeta dharau
Mliwahi kuongea na Rais hata siku moja au viongozi wenu vibaraka wa ccm ndiyo huwa wanaalikwa ikulu kupeleka ripoti ya kazi waliyopewa ya kuua upinzani na kulipwa kamisheni zao?
 
Hapo Sasa umenielewa.ils sio kama walivyoenda ile tarehe 29.kama hamna nawaomba sana msiingie barabarani.mtapoteza Tena watu.hao jamaa hawana huruma
Ghandi alikuwa na harakati za kupambana bila silaha, baadae akawaambukiza kina King.

Inawezekana kabisa kuitoa CCM bila silaha.
 
Tupo kwenye msiba mzito mauwaji yaliyofanyika hayakubaliki na hayaja tutisha bali yamechochea sababu zaidi maandamano kuna sababu zote za kuandamana hatuwezi kuwa kitu kimoja.

Maandamano ni tarehe 9/12 mauwaji yaliyofanyika hayapaswi kutunikiwa tuzo bali kupingwa kwa nguvu zote.

Tut
 
Andamana wewe na familia yako mkae mstari wa mbele!!
Achana na watu!
 
Wale Nyumbu mliowadanganya wakatoka wamekiona chamoto sahivi hawatatoka labda nyie mliopo nyuma ya keyboard muache kujificha chini ya uvungu muende nyie barabarani.

Maana keyboard warriors nyie hamfi kila siku mko online kumbe siku ya maandamano mnafanya usafi uvunguni na kujificha
Hawakufa nyumbu tu. Kuna mstaafu mmoja wa jeshi la polisi amesafirishwa leo kuja mbeya. Alipigwa risasi akiwa nyumbani kwake na askari.

Jina la mwisho la huyo askari ni mwakabana na mwanaye ni askari polisi
 
Tatizo haya maandamano hukumba hata wasiohusika huweza kupigwa shaba, vibaka, majizi na hata magaidi na majambazi hujichanganya kwa waandamanaji na kufanya mambo yao! Ni ngumu kujua muandamanaji na mpita njia, hawa wajuba hawatabiriki.
Kwa nenga simu za mwaka wa mbele ziliuzwa laki 2 cash hapo hapo 😹😹

Ila ukiwa kwa ground kuna utamu fulani huwezi kuuelezea.. watu waliiba huku wajeda wanashuhudia isingekua gwanda nao wangejoin 🤣
 
Wale Nyumbu mliowadanganya wakatoka wamekiona chamoto sahivi hawatatoka labda nyie mliopo nyuma ya keyboard muache kujificha chini ya uvungu muende nyie barabarani.

Maana keyboard warriors nyie hamfi kila siku mko online kumbe siku ya maandamano mnafanya usafi uvunguni na kujificha
Ili uone nyumbu vizuri njoo ground lucha kichokoleo 😹
 
Bado hamjajifunza namna maandamano yalivyosababisha fitna na mabalaa kwetu. Nimejifunza kitu, kwa yaliyotokea na kwa jinsi nilivyoona kwenye baadhi ya vyombo vya habari vya nje hasa vya Kenya, nimeamini kuna hujuma Tanzania inafanyiwa, na Allah ni Mjuzi zaidi. Ninamuomba Allah Ailinde nchi yetu na Aidumishe Amani yetu.

Damu za ndugu zetu hazijawatosha. Na uharibifu wote uliotokea hayajawatosha, mnataka muichome nchi yetu zaidi na watu wafe halafu msambaze picha za maiti zao kuudhalilisha utu wao zaidi, mnataka kutimiza malengo yenu kwa damu zetu na heshima zetu. Nyinyi sio watu wazuri kabisa.
Unataka kufa wa mwisho ulinde dunia?
Wale waliokumbatiana majumbani waliandamana?
 
As long as maandamano ni haki ya kikatiba basi ni muhimu kushiriki hii. Labda wafute hicho kipengele cha maandamano kwenye katiba na roho za waliouawa zifufuliwe.
 
Back
Top Bottom