PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hawa Gen Z hawapoi, nakumbuka wakati wanaratibu maandamano ya MO29,;walikuwa wanajitapa kuwa watachoma vituo vya mafuta.

Albert Chalamila kama kawaida yake akaja mbio mwendo wa ngiri mkia juu kinyeo nje, na kujitapa kuwa kama Kuna anayejipenda adhubutu aone.

Sote ni mashahidi vituo vingi vya mafuta vilipigwa kiberiti.

Sasa maandamano ya tarehe 09/12/2025 Gen Z wamesema watawatembelea wafuatao
-Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa.
- Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu
-Nyumbani Kwa Nassoro Katuga
- Wasafi media

Here we go
Maandamano yenye kufanya uharibifu sio sawa. Sasa waje na modern demonstration kwa maana ya kuwa na clear message kwa watawala ili kusiwe na visingizo vya uharibifu wowote!!
 
S

SAmuya ni mshenzi jamani ataua tena.Kwanini yasiwe maandamano ya amani na mishumaa kuwakumbuka ndugu zetu?
 
Hawa Gen Z hawapoi, nakumbuka wakati wanaratibu maandamano ya MO29,;walikuwa wanajitapa kuwa watachoma vituo vya mafuta.

Albert Chalamila kama kawaida yake akaja mbio mwendo wa ngiri mkia juu kinyeo nje, na kujitapa kuwa kama Kuna anayejipenda adhubutu aone.

Sote ni mashahidi vituo vingi vya mafuta vilipigwa kiberiti.

Sasa maandamano ya tarehe 09/12/2025 Gen Z wamesema watawatembelea wafuatao
-Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa.
- Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu
-Nyumbani Kwa Nassoro Katuga
- Wasafi media

Here we go
Wamesema wapi?

Achwni kwanza watu wazike wapendwa wao, wanaoumwa wapate nafuu na waliopotea wapatikane.

Hizi haraka uchwara mnabweka mkiwa online
 
Hawa Gen Z hawapoi, nakumbuka wakati wanaratibu maandamano ya MO29,;walikuwa wanajitapa kuwa watachoma vituo vya mafuta.

Albert Chalamila kama kawaida yake akaja mbio mwendo wa ngiri mkia juu kinyeo nje, na kujitapa kuwa kama Kuna anayejipenda adhubutu aone.

Sote ni mashahidi vituo vingi vya mafuta vilipigwa kiberiti.

Sasa maandamano ya tarehe 09/12/2025 Gen Z wamesema watawatembelea wafuatao
-Ofisi ya msajiri wa vyama vya siasa.
- Mahakama ya hakimu mkazi Kisutu
-Nyumbani Kwa Nassoro Katuga
- Wasafi media

Here we go
Hayo sio maandamano, huo ni uharibifu wa mali na uvunjifu wa Amani, the security forces will therefore waiting to legitimise what they want to do,
 
Hii inapelekea wananchi kufanya maandalizi mapema, huko majumbani mwao!!
 
Tarehe 9/12/2025 ndio tunaenda kujua mbivu na mbichi ya ukombozi wa nchi yetu.

1- Tunaenda kudai katiba mpya
2- Tunaenda kudai haki itendeke kwa wapendwa wetu waliopoteza uhai wao wakiandamana kwa amani.
3- Tume mpya ya uchaguzi
4- Wote waliotekwa warejeshwa wakiwa wazima wa afya na wawajibishwe waliohusika na utekaji huo.
5- Hatuutaki tena muungano baina yetu na Zanzibar.
6- Jeshi letu lifumuliwe na kusukwa upya.
7- Raisi na watendaji wake wafikishwe mahakamani kujibu tuhuma zinazowakabili.
8- Mitandao ya mawasiliano ifunguliwe mashitaka kwa kutuzimia mitandao.
9- Tunataka bandari yetu iendeshwe na watanganyika, hivo dp hatuwatambui.
10- Wamasai wanahaki ya kuishi ngorongoro na sio kuhamishwa.
11- Mikataba yote serikali ya ccm iliongia tunataka tuipitie upya na kuifuta ile ya kinyonyaji.
12- Uhuru wa habari, vyombo vya habari na wanahabari, wawe na bodi yao maalum iliyo huru kuwasimamia.

TUANZE KUANDAA MABANGO WADAU, LAKINI ANGALIZO TUJIEPUSHE KUWACHOMEA WATU BIASHARA ZAO BALI TUKISHAIKOMBOA NCHI TUTAWASHITAKI MAHAKAMANI MAFISADI WOTE.

Utatoka hiyo siku au mmeshakata tamaa?
Kama kuna njia nyingine unaeza shauri tunapokea maoni.
 
Maandamano yenye kufanya uharibifu sio sawa. Sasa waje na modern demonstration kwa maana ya kuwa na clear message kwa watawala ili kusiwe na visingizo vya uharibifu wowote!!
Clear meseji ndo ikoje?

Unafkiri viongozi hawajui wanachokipigania wananchi mpaka ukawaoneshe na kuwaambia siku ya maandamano?
 
Back
Top Bottom