Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Thread starter
- #461
Lazima kiwake qmmmqMpaka watuue wote
Lazima kiwake qmmmqMpaka watuue wote
"Maandamano yawe ya AMANI". "Mtu akitaka kuchoma property adhibitiwe papo hapo".Maandamano yawe ya AMANI yataungwa mkono na watu wengi na mtu akitaka kuchoma property adhibitiwe papo hapo.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
hilo limeisha mkuuBebeni mabango kuonyesha mnahitaji nini wakuu wangu.
wewe mzee wa CCM tuliaKAZI kweli kweli
Lazima mafisadi na wauaji waachie Tanganyika yetu.KAZI kweli kweli
Sheria gani inayotaka uiiandsmana lazima uwe na BangoBebeni mabango kuonyesha mnahitaji nini wakuu wangu.
Amna mkuuSheria gani inayotaka uiiandsmana lazima uwe na Bango
Hakuna, Kuna mchammbuzi mmoja uchwara anaitwa Mwinyi amezuka Jambo TV anawaambia watu kwenye maandamano lazima wawe na ajenda moja na mabango na wapewe kibali na polisi.Sheria gani inayotaka uiiandsmana lazima uwe na Bango
ndio inavyotakiwaNaona Kyela wameamua waendelee na ukombozi. Wamegoma kupoa.
Wewe hutatoka? Mbon unatoa tu miongozo?Bebeni mabango kuonyesha mnahitaji nini wakuu wangu.
Kinumbo, swali lako halina tija kwa sasa. Tuzingatie tu tuendapo. Huenda Mbaga JR aliona fikra zake zilikuwa sahihi wakati huo. Sasa amebadilisha mawazo kwa sababu yo yote ile. Kama ameongoka na anataka kuja upande wetu, tumpokee tu na kuongeza nguvu zetu. Hakuna tija kumdadisi ilikuwaje.Mbaga Jr ulikuwa mstari wa mbele na wengineo kuwaponda watanganyika kuwa hawato andamana tarehe 29 Octoba, mpaka ukawa una post picha ya maandamano kuwa yatafanyika mitandaoni. Matokeo yake ikawa tofauti. Ni jambo gani limekufanya ubadilike ghafla? Napenda kujua kwa faida ili nijifunze kitu
Sawa kabisa.Maandamano yawe ya AMANI yataungwa mkono na watu wengi na mtu akitaka kuchoma property adhibitiwe papo hapo.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿