immortanity
JF-Expert Member
- Nov 8, 2024
- 859
- 1,591
watu wasijua ni kwamba maandamano ya amani yawezi iondoe serikali ovu madarakani ndio kitu watu hawajui.Mpaka Leo hujui wanahitaji Nini? Au umekuwa brainwashed na propaganda za kijinga kutoka kwa akina wassira
bila kuchoma na kuharibu baadhi ya miundombinu pamoja na majengo ya mafisadi hawawezi ona tunamaanisha tunachokitaka.