PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Binafsi sio haja ya kupoteza Muda kuandamana.. wengi wanaandamana kwaajili ya maisha magum lakini wapo Vijana wengi wa kimaskin wamepambana wana maisha mazuri tu.. mtu ambae tayari kashaorganize maisha yake huwezi mkuta anapoteza muda wake au kurisk maisha yake kisa hizi siasa.. Vijana tupambane kutafuta pesa kila kitu kinawezekana hata ije serikali ya aina gani hautopewa pesa tu.
 
Habari zenu wakuu!!
Ukweli ni kwamba maandamano ya october 29 yameonyesha mwongozo kwamba watanzania tunaweza na sio waoga kama wengi wanavyodai .

Haya yajayo ya tarehe 9 december siku ya kumbukizi ya uhuru wa nchi yetu ya Tanganyika tudhamilie kuyafanya yawe ni maandamano ambayo hayajawai tokeo kwa nchi yoyote ile dunia yakawe ni non stop mpaka CCM iachie nchi rasmi hakuna kurudi nyuma na wala tusitegemee jeshi letu hili la ulinzi .

Watanzania tutoke kwa wingi Gen z sana sana kwa wingi acha hawa wazee wa CCM baby boomers wabakie nyumbani na wajukuu.
Nadhani tungejifunza kwa yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu October 29.
Maandamano yataleta maafa mengine ambayo hayana sababu ya kutokea.
Badala yake nashauri njia ya mazungumzo itumike kufikisha agenda yenu. Naamini serikali itakuwa tayari kuwasikiliza.
 
Nawaza isije Gen z wakaja na mipango ya nyumba za polisi popote zilipo na familia zao. Civil war huanzaga hivi. Maana baada ya hapo watasema askari walikuwa wa zenji. Serikali iwape watu wenye akili za kuona mbali na wenye moyo wa busara kuingilia kati haya mambo. Ninao ona wanajitokeza ni wale wenye kubeza na kuonesha jeuri ya dola.
Wakiingia kwa step ya kuwamaliza mapolisi na familia zao, watakuwa wamepiga improvement kubwa sana, na hiyo inawapa 70% ya ushindi. Mwisho polisi watagoma kuingia front wakihofia familia zao na maisha yao.

Kwanini? Hapo itabaki kwa JWTZ tu, na wao sio rahisi kukubali kupoteza familia zao.
 
Mimi sio nabii ila najua sio tu watanzania walio kosa usingizi hata Samia hana usingizi wala furaha anaangaika huko na kule subiri 9/12 ataona show
 
Habari zenu wakuu!!
Ukweli ni kwamba maandamano ya october 29 yameonyesha mwongozo kwamba watanzania tunaweza na sio waoga kama wengi wanavyodai .

Haya yajayo ya tarehe 9 december siku ya kumbukizi ya uhuru wa nchi yetu ya Tanganyika tudhamilie kuyafanya yawe ni maandamano ambayo hayajawai tokeo kwa nchi yoyote ile dunia yakawe ni non stop mpaka CCM iachie nchi rasmi hakuna kurudi nyuma na wala tusitegemee jeshi letu hili la ulinzi .

Watanzania tutoke kwa wingi Gen z sana sana kwa wingi acha hawa wazee wa CCM baby boomers wabakie nyumbani na wajukuu.
Ucchi wa mamaako,mngese wewe
 
Gen Z wenye akili ni wa Kenya, Madagascar na Nepal tu. Wale hawakuharibu miundombinu ya nchi yao na kuiba, labda udokozi kidogo tu.

Hawa wa Tanzania ni mbumbumbu tu ndiyo maana wamepata wanachostahili ile tarehe 29/10.

Rudieni tena hiyo tarehe 09/12 na hapo nawahakishia mtachezea shaba kama kawa.
Tulieni mfundishwe jinsi usalama wa Taifa unavyotakiwa kulifanyia kazi taifa na siyo kikundi cha watu.
 
Mimi nikitoka, baba mwenye nyumba atabaki ndani na mtoto
Yeye akitoka, nitabaki ndani na mtoto.
Kwenye familia yetu lazima mmoja ashiriki 9 Dec kwenye ukombozi wa Tanganyika.
 
Nadhani tungejifunza kwa yaliyotokea wakati na baada ya uchaguzi mkuu October 29.
Maandamano yataleta maafa mengine ambayo hatana sababu ya kutokea.
Badala yake nashauri njia ya mazungumzo itumike kufikisha agenda yenu. Naamini serikali itakuwa tayari kuwasikiliza.
Serikali hipi ya kusikiliza?

Kwani kuomba katiba mpya na uchaguzi huru na wa haki watu wameanza kuomba leo?

Ni miaka na miaka watu wanaomba lakini hawasikilizwi zaidi CCM inabadilsha mbinu za kuendelea kuiba kura ili wabaki madarakani.

Bila kuwashinikiza kwa kutumia nguvu hakuna cha maana tutakachopata.
 
Ni vyema mkafanya kwa Amani na Kulinda Mali za Watanzania wenzenu, Chadema waliwahi kuandamana Miaka ya Karibuni kwa Amani bila kuiba wala kuharibu mali za Watanzania Wenzao. Mbinu ya kwanza ya kufanikiwa ni kulinda Mali ili wasipate sababu ya kuua watu. Mbinu ya pili ni Idadi. Kama watu wakiwa wengi kiasi cha kuasili mizunguko ya shughuli za kawaida mjini bila Vurugu. Lengo linaweza kutimia
Hakuna anayeiba Mali ya mtu watu wanachukua Mali za kifisadi za Kodi zao

Na kuharibu Mali za kifisadi

Mali za kifisadi hazina faida yeyote kwenye nchi maana hazilipi kodi
 
Maandamano yawe ya AMANI yataungwa mkono na watu wengi na mtu akitaka kuchoma property adhibitiwe papo hapo.

🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Maandamano ili yawe ya amani inategemea pia hao wanaoitwa walinzi.
Sasa hawa vichwa maji polisi wakishika bunduki huona huo mkusanyiko kama ni wa ngedere nakuanza kuwalenga bila kusubiri lolote. Hilo neno AMANI litaingiaje hapo?
 
Gen Z wenye akili ni wa Kenya, Madagascar na Nepal tu. Wale hawakuharibu miundombinu ya nchi yao na kuiba, labda udokozi kidogo tu.

Hawa wa Tanzania ni mbumbumbu tu ndiyo maana wamepata wanachostahili ile tarehe 29/10.

Rudieni tena hiyo tarehe 09/12 na hapo nawahakishia mtachezea shaba kama kawa.
Baada ya kusema TZ hawawezi kuandamana leo umekuja kivingine hapa.
Mkuu wee jua tu kuwa hatuogopi kufa tena maana hata tusipokufa kwenye maandamano mtatuteka kututesa na kutuua hivyo hatuna cha kupoteza. Furaha yangu ni kutuua wote kabisa tuishe.

Lakini story za kututishia kufa habari hizo kamtishe mmeo tu anayekuhdumia na kukujari lakini si sisi.

Nepal walichoma Bunge,ikulu na kuchoma nyumba ya waziri mkuu pamoja na kuua mke wake!
Kenya waliingia bungeni wakafanya uharibifu mkubwa tu.
 
Mimi sio mtaalamu sana lakini inawezekana akawa hajui kwa asilimia kubwa madhara yaliosababishwa na maandamano,
Kumbuka yeye ni analetewa report na sio mtu wa kwenda kwa wanachi kama ilivokua mtangulizi wake.
I stand to be corrected, sijaona video yeyote akiingia field na kuuliza wananchi face to face mambo yanaendaje
Hivo kama ni mtu wa report pengine wanaomletea report wanaficha kama sio kumpotosha na kinachotokea mtaani
Hata hotuba zake kumbuka hua anaandikiwa kipi cha kusema na kipi cha kuongea

On the other side kama anajua ukweli kwa yote yaliotokea basi zigo lote anapswa kutishwa yeye
 
Maandamano ili yawe ya amani inategemea pia hao wanaoitwa walinzi.
Sasa hawa vichwa maji polisi wakishika bunduki huona huo mkusanyiko kama ni wa ngedere nakuanza kuwalenga bila kusubiri lolote. Hilo neno AMANI litaingiaje hapo?
Haya hayatakuwa maandamano ya KWANZA ya AMANI kumbuka CHADEMA ilifanya maandamano ya AMANI nchi nzima hakuna hata NZI aliyeuwawa.
 
Habari zenu wakuu!!
Ukweli ni kwamba maandamano ya october 29 yameonyesha mwongozo kwamba watanzania tunaweza na sio waoga kama wengi wanavyodai .

Haya yajayo ya tarehe 9 december siku ya kumbukizi ya uhuru wa nchi yetu ya Tanganyika tudhamilie kuyafanya yawe ni maandamano ambayo hayajawai tokeo kwa nchi yoyote ile dunia yakawe ni non stop mpaka CCM iachie nchi rasmi hakuna kurudi nyuma na wala tusitegemee jeshi letu hili la ulinzi .

Watanzania tutoke kwa wingi Gen z sana sana kwa wingi acha hawa wazee wa CCM baby boomers wabakie nyumbani na wajukuu.
Yaani watakiona Cha MTEMAKUNI maana ni mara mia zaidi ya yalioyopita.
 
Back
Top Bottom