PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kwa akili hii hamjui hata mnachokitaka, wacha mchezee risasi za Mafwele tu
Na yeye safari hii atazikoga tu.

We na ujinga wako unafkri bunduki zinashushwa kutoka mbinguni kwa ajiri ya CCM tu na polisi wake?
 
boya wewe tulia baki nyumbani mwenyewe nani kakambia ******* kama wewe wataandamana
Na atulie tu nyumbani achezee uboo wa mumewe.

Nchi inakombolewa na wanaume walio tayari kumwaga damu zao sio na wanawake kama huyo.
 
Haya hayatakuwa maandamano ya KWANZA ya AMANI kumbuka CHADEMA ilifanya maandamano ya AMANI nchi nzima hakuna hata NZI aliyeuwawa.
Ila ukumbuke wakati ule serikali iliridhia na ikatoa ulinzi.

Kwa hali ya sasa sioni mazingira hayo.
Ili utulivu(sio amani) uwepo, ni vijana kuacha kuandamana.
 
Ila ukumbuke wakati ule serikali iliridhia na ikatoa ulinzi.

Kwa hali ya sasa sioni mazingira hayo.
Ili utulivu(sio amani) uwepo, ni vijana kuacha kuandamana.
Serikali ikitunyima HAKI yetu ya KIKATIBA ya KUAMNDAMANA kwa AMANI bila sababu za MSINGI👈 basi wao ndio watakaolaumiwa kwa kitakachotokea.
 
Baada ya kusema TZ hawawezi kuandamana leo umekuja kivingine hapa.
Mkuu wee jua tu kuwa hatuogopi kufa tena maana hata tusipokufa kwenye maandamano mtatuteka kututesa na kutuua hivyo hatuna cha kupoteza. Furaha yangu ni kutuua wote kabisa tuishe.

Lakini story za kututishia kufa habari hizo kamtishe mmeo tu anayekuhdumia na kukujari lakini si sisi.

Nepal walichoma Bunge,ikulu na kuchoma nyumba ya waziri mkuu pamoja na kuua mke wake!
Kenya waliingia bungeni wakafanya uharibifu mkubwa tu.
Usibishane na hako kasenge umekashinda hoja, kanatafta mlango wa kutokea.
 
Ambao mliandamana iliyopita naomba kupata ABC za jinsi ya kurudi nyumbani ikifika usiku.

Sababu ikifika jioni barabara zote zinakua zimefungwa na usafiri hakuna.
Mbaga Jr Hance Mtanashati
Andamana karibu na home ili ukipatwa na changamoto n rahisi kusaidiwa, kama n mbali bc nenda na wengi wanaokujua, na utapata Kampan kurudi nyumbani kupitia vichochoroni.
H ndivyo mm nilifanya.
 
Anaandika Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X:

------------------------------

Mmechagua maandamano. Swali ni tarehe! Huko DM nimeona Dec 9 na wengine wanasema Desemba 9 ni mbali na tutapoa wanataka kabla ya Dec 9.

Weka kura yako 👇🏾

Maandamano inayofuata iwe

Screenshot_20251107-193139.png



20251107_193211.jpg
 
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Acha ujinga. Unajua wanachofanyiwa wakirudi nchini?
Hufahamu kilichompata polepole?
 
Back
Top Bottom