PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Nyinyi mko nje ya nchi mnawadanganya vijana walioko nchini ili wapigwe tena za kichwa. Sidhani kama kuna kijana atakayetoka siku hiyo. Labda watakuwa nyumbu promax.
Ni wa kuwahurumia
 
  • Thanks
Reactions: UCD
Nyinyi mko nje ya nchi mnawadanganya vijana walioko nchini ili wapigwe tena za kichwa. Sidhani kama kuna kijana atakayetoka siku hiyo. Labda watakuwa nyumbu promax.
..walioitoa nchi mikononi mwa wageni miaka ya 60 walikutana na watu wa aina yako, wangewasikiliza pengine hata wewe usingekuwepo leo, bora nyamaza kila mtu anabeba jukumu yeye mwenyewe na thawabu inatolewa kwa mtu husika..huu upumbavu uliopo sasa umefikia kikomo..ni aheri gharama nyingine yoyote kuliko gharama ya kuendelea kuachia hawa wapumbavu waendelee kuongoza!
 
Hivi mna fikiria this time ata waacha tena pale alikuwa hana mamlaka kwasababu alikuwa kama mgombea this time ame apishwa hii haiko sawa kabisa watu bado wana omboleza mnataka kuanzisha mengine sio kweli msiba usikie kwa mwenzio usikukute watoto vijana ndoto zina zimika kabisa mwenye nguvu usishindane nae matamko ya UN mpaka sasa hayana impact yoyote kwa yale yalio tokea how hayo yatakayo tokea? Tutazidi kupoteza vijana wetu zaidi
Wewe unaogopa kufa au unaogopa kuwahi kufa maana kufa tutakufa tu usiogope kufa
 
Hawa ni wanyama sana hawawahurumii vijana walikufa na wengine wamefikishwa mahakamani kwa uhaini
Yaan kwa kipindi hiki walau wange acha upepo upite watu wasahau ata kidogo mtu umetoka kuzika mwezi ulio pita una kijana mwingine yupo mahabusu una pamban kujua hatima yake tena uje upoteze mwingine sio kweli hii hapana tuwe na huruma na wengi wanao hamasisha mara ya kwanza wamesalimika wameona na safari hii watasalimika sio kweli kabisa mambo hayapo hivyo
 
Maandamano kama haya yalio pita yana waumiza wengi sana this time wamekufa vijana wengi sambuse hiyo siku tena embu jipangeni tena kwa mda mnataka mtu mmoja azike mara tatu au watu zaidi ya mmoja kwa mwaka? Hii sio sawa kabisa jipange kwa mda mrefu na sio hii ya muda mfupi watu vidonda havija pona ninyi mnawaza tena maandamano mnataka kuzidisha vidonda kuweni na huruma
Na vidonda vikizidi kila mtu ataingia barabarani ndo wanataka
 
Back
Top Bottom