PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Mange kakutieni mkenge saivi kuna vijana kama 200 ivi wameshtakiwa kwa uhaini Watanganyika tumieni akili lasivyo mtakula za kichwa mpaka akili ziwakae sawa
 
IMG-20251107-WA0030.jpg
 
Mange kakutieni mkenge saivi kuna vijana kama 200 ivi wameshtakiwa kwa uhaini Watanganyika tumieni akili lasivyo mtakula za kichwa mpaka akili ziwakae sawa
Wewe ukiendelea utanipa ban leo
 
Kila mmoja anapigania destiny yake na kizazi chake...na huo ubinafsi km wa kwako ndio tunataka kuufuta, binadamu hujaletwa duniani kupigania tumbo lako!
Wewe umejificha huko lakini unataka wafe vijana wa watu wewe unawachochea ukiwa nje au upo lakini hujitokezi.
 
Nyinyi mko nje ya nchi mnawadanganya vijana walioko nchini ili wapigwe tena za kichwa. Sidhani kama kuna kijana atakayetoka siku hiyo. Labda watakuwa nyumbu promax.
Naona neno la keyboard worriers limepotea ghafla humu mitandaoni. Maandamano ndio lugha inayoeleweka kirahisi. Sasa tutaandamana kwa amani kabisa. Atakayepora mali za watu tutamdhibiti wenyewe ili msipate kisingizio. Lakini madai ya katiba mpya lazima yafanyiwe kazi, na serekali ya mpito ni lazima. Hatuwezi kukubali kuongozwa na mtu aliyejitangaza kwa kura uongo.
 
Wewe umejificha huko lakini unataka wafe vijana wa watu wewe unawachochea ukiwa nje au upo lakini hujitokezi.
kawaambie watoto wako..shida yako nini km akili uliyo nayo inachojua ni tumbo lako..!
 
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Nchi ipi hii ambayo umewauzia Zanzibar na warabu
 
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Nchi ipi ya kujenga?Huyo Samia mbona yupo hapa nchini na hana ushawishi wowote we unadhani kwanini?tumia akilo utajua

Virungu watu wanapigwa wakienda kanisani si ni bora wapigwe wakidai haki zao
 
Hivi mna fikiria this time ata waacha tena pale alikuwa hana mamlaka kwasababu alikuwa kama mgombea this time ame apishwa hii haiko sawa kabisa watu bado wana omboleza mnataka kuanzisha mengine sio kweli msiba usikie kwa mwenzio usikukute watoto vijana ndoto zina zimika kabisa mwenye nguvu usishindane nae matamko ya UN mpaka sasa hayana impact yoyote kwa yale yalio tokea how hayo yatakayo tokea? Tutazidi kupoteza vijana wetu zaidi
Acha tupoteee, tukifa tutakuwa sadaka ya wengine, lakini hatuwezi kutawaliwa na mtu aliyepora uchaguzi. Hata Yesu alikufa kwa ajili ya wengine. Hakuna madai hatujawahi kutoa kwa njia za kistaarabu lakini tumepuuzwa. Na safari hii tukipigwa risasi ujue tutafuta silaha tayari kwa mapambano ya muda mrefu zaidi. Hapo ndio tutafurahi wote.
 
Hivi una jua kuna watu mpaka leo hawajaona familia zao na hawajui watemda kuona lini kwasababu ya haya maandamano?
 
Maandamano kama haya yalio pita yana waumiza wengi sana this time wamekufa vijana wengi sambuse hiyo siku tena embu jipangeni tena kwa mda mnataka mtu mmoja azike mara tatu au watu zaidi ya mmoja kwa mwaka? Hii sio sawa kabisa jipange kwa mda mrefu na sio hii ya muda mfupi watu vidonda havija pona ninyi mnawaza tena maandamano mnataka kuzidisha vidonda kuweni na huruma
Wewe kaa ndani uje wakuue ukiwa sebureni kwenu

Au utekwe upotee Kama soka

Au ufe Kama Akwilina

Au ufe kwa master wa clouds

Au ufe Kama shehe majini

Utachagua Aina ya kifo
 
Back
Top Bottom