Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Tumepoteza pambano na sio vita. Jiandaeni kisaikolojia na sisi kuanza kutafuta silaha kwa nguvu zote. This time tutaumia wote.Hawa watu wano jifanya wameumizwa na vifo vya watu ni waongo maana. Huwezi andaa tena ugomvi mwingine wakati mwanzo ulishindwa uka zika watu wengi now lazima msome nyakati na mumsome adui yenu mjue udhaifu wake upo wapi