Tindo
Platinum Member
- Sep 28, 2011
- 72,020
- 129,293
Safari hii tutaingia kwenye mazishi wote. Familia za polisi zitakuwa kwenye mazishi na sisi kwenye mazishi. Ww andaa ushahidi tu wa kura 31m nani walizipiga.
Kwanza. Hao wahamasishaji ni wanawake. Kwa wasomi wa Biblia wanajua uhusiano wa wanawake na shetani.
Pili. Hao wahamasishaji mostly wako nje. That's why wengi walikuwa online hata serikali ya Tanzania ilipozima data.
Tatu. Serikali hii haina utata na mauzauza kama serikali ile ya jiwe, serikali ya hovyo. Cha ajabu machungu waliyofanyiwa upinzani zama za jiwe wanataka wajibu mapigo zama za Samia.
Tarehe 29-04 serikali ilitumia 1/6 ya power yake mlipoteana njia.
Safari hii itatumia 3/6.
Wazazi wenu hasa mama zenu watalia sana.
Watalia sana mkitikisa maji ya moto huku hamjafunga kifuniko.