Mr Q
JF-Expert Member
- Aug 16, 2012
- 22,496
- 51,721
Kwanini wauwawe na ionekane ni huyo dada na sio wauwaji na aliye watuma?huyu dada ataulisha wabongo wengi sana
Kwanini wauwawe na ionekane ni huyo dada na sio wauwaji na aliye watuma?huyu dada ataulisha wabongo wengi sana
他妈的你妈妈Tokeni mje mfanye tena vurugu mle shaba,safari hii hakuna kucheka na kima yeyote
Waambie kabisa vibaka wenzako,this time around kabla ya kufanywa chochote mnapakwa kwanza KYYes, naunga mkono hoja Kiwakeee.
Kama kutuua watuue wote.
Hii nitakuwepoAnaandika Maria Sarungi kupitia ukurasa wake wa X:
------------------------------
Mmechagua maandamano. Swali ni tarehe! Huko DM nimeona Dec 9 na wengine wanasema Desemba 9 ni mbali na tutapoa wanataka kabla ya Dec 9.
Weka kura yako 👇🏾
Maandamano inayofuata iwe
View attachment 3498764
View attachment 3498765
Mbona unaongea sana kama unaisikilizia KY?Na atulie tu nyumbani achezee uboo wa mumewe.
Nchi inakombolewa na wanaume walio tayari kumwaga damu zao sio na wanawake kama huyo.
Ukitoka uje kabisa na sanda yako,maana gharama za kuwapa watu kwa kifo cha kujitakia hatutakiNitakuwepo mstari wa mbele kabisa bila woga
Wote hao ni makiibodi woria....Hawa watu wano jifanya wameumizwa na vifo vya watu ni waongo maana. Huwezi andaa tena ugomvi mwingine wakati mwanzo ulishindwa uka zika watu wengi now lazima msome nyakati na mumsome adui yenu mjue udhaifu wake upo wapi
Vijana amueniWanazingua hao Kaka angalia hata huyo Maria na ujasiri wake wote hata Baba yake hajaja kumzika Tanzania anaogopa kujitoa sadaka ila watoto wa wenzao ndo wanataka waumie na kuuliwa
Sio kila mtu wakumsikilizaWote hao ni makiibodi woria....
Hata hawakuhusika kwenye mandamano, walijificha ndani...
Kwa kweli nimesikitishwa sana na mauaji kwa ujumla sababu nimeishi maisha yangu yote na mpaka kuwa na watoto ninaowaambia nchi yangu ni nchi ya amani sana, maana wanaona kila siku kwenye mtandao jinsi nchi za afrika zilivyokuwa na vita na mauaji kama Sudan na Congo nimejibu maswali mengi sana kutoka kwao....
Cha ajabu, humu kuna vichwa pumbu waliokuwa wako live muda wote wa maandamano na hapo ndio utajua hawaishi nchini, lakini kila kukicha humu ni utasikia tukiwashe tena sijui tukamtembelee na huyu au nina hasira sana nataka kuuwa polisi wote huku akiwa kwenye kilaptop chake huko ughaibuni.....
Waache, usiwastue, suala la virungu halipo tena. Ni moto kwa kwenda mbele acha waendelee kuendeshwa kama maboya. Walitakiwa wamwambie huyo anayeendesha hizo kura nae aje waandamane pamoja. Bado nasisitiza Watanzania tuko wengi mno, wanaoamua kujipunguza tunawatakia kila la kheri.🙏Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Ivi nyie jamaa mtu yupo huko kusikojulikana lakini anawasihi muandamane ,ivi akili za wapi izi vijana na nyie tumien akili basi!
Mtapigwa sana virungu mwaka huuu
Jengeni nchi yenu vijana,mtaishiaa pabaya sana.
Mwenye masikio na asikie..
Sawa tokeni na wewe uwepo.Ninyi mashetani mnaua watu kwa fikra hizo kuwa tukiwaua wataogopa nyingine kugoka, lakini ukweli ni kuwa mnaongeza hadura, na safari ijayo watanzania watatoka maradufu ya tarehe 29. Watanzania kamwe hawataogopa kamwe, kwani kuogopa ni kunyosha mikono kwa shetani.
Matokeo yake ni nini?Hata yaliyopita mlisema hivyo hivyo. Hamuoni hata aibu?
Yuko nje ya nchi ukitaka kujua angali comment zake humu siku internet ilikuwa imefungwa yeye alikuwa ana comment maana yake alikuwa yuko nje ya TZ ndio maana aliweza kucomment.kwahiyo jamaa amekimbia nchi?
Wewe kama nani uwapangie vijana wanaopambania nchi yao?Maandamano kama haya yalio pita yana waumiza wengi sana this time wamekufa vijana wengi sambuse hiyo siku tena embu jipangeni tena kwa mda mnataka mtu mmoja azike mara tatu au watu zaidi ya mmoja kwa mwaka? Hii sio sawa kabisa jipange kwa mda mrefu na sio hii ya muda mfupi watu vidonda havija pona ninyi mnawaza tena maandamano mnataka kuzidisha vidonda kuweni na huruma
Anayewaua ni nani huyo na kwa nini awauwe badala ya kuwasikiliza? Kwanini usipaze sauti huyo anayewauwa akamatwe?Mna waumiza vijana wanakufa uku bado wana ndoto zao hivi mna faidika na nini na vifo vyao?
Mwendo wa chocho kwa chocho.Ambao mliandamana iliyopita naomba kupata ABC za jinsi ya kurudi nyumbani ikifika usiku.
Sababu ikifika jioni barabara zote zinakua zimefungwa na usafiri hakuna.
Mbaga Jr Hance Mtanashati