ephen_
JF-Expert Member
- Oct 28, 2022
- 21,002
- 77,708
Hivi walinzi wa mageti kwenye nyumba na ofisi hawakuuliwa?Mwendo wa chocho kwa chocho.
Kama nyumbani bado ni mbali angalia sehemu ya kujibanza ,kama kuna walinzi mahali omba hifadhi.
Hivi walinzi wa mageti kwenye nyumba na ofisi hawakuuliwa?Mwendo wa chocho kwa chocho.
Kama nyumbani bado ni mbali angalia sehemu ya kujibanza ,kama kuna walinzi mahali omba hifadhi.
Maandamano hayatakiwi na serikali, no matter how beautiful people will plan the event.This time yaratibiwe vizuri, mabango ya kutosha na kero ziwekwe wazi, serikali na vyombo vya usalama vilinde watu wakifanya peaceful demonstrations.
Na ili ujue serikali za kiafrika ni katili, pamoja na coordination nzuri, bado watapiga na kuuwa.
Shame!!
Aliyehamasisha kuua waandamanaji ni nani mkuu?Na wengine wameanza kuhamasisha kumwaga damu, Hawa watu siyo waandamanaji ni waharifu.
Blood must water our freedom.Maandamano hayatakiwi na serikali, no matter how beautiful people will plan the event.
They will always be some ass whippin to my fellow black brothers😄
MAANDAMANO ya tarehe 29 mlisema mtaangamiza kabisa CCM na machawa wote. Mmepigwa kama mbwa sasa hivi mnaitaja ICC ambayo awali hamkuiwaza kabisa.Unaongea kama unaitawala dunia. Huyo bibi yenu ICC inamsubiri
Kwa hizo silaha ulizozitaja hapo juu sishauri watanganyika kwenda kupambana labda kama wana SMG au AK-47 binafsi sitaenda kuandamana bila AK-47 nitakuwa zangu kwenye mtandao(najua kuna waliochukuliwa kutoka chumbani na polisi), awali pia tulishaonya sana kuhusu kutegemea JWTZ ambao tayari kuna mamluki, kwenye maandamano kwenyewe kuna wasaliti (polisi kanzu),This time nashauri Kila mwenye siraha ndani atoke nayo,panga ,rungu, mkuki,mishale , pistol,no matter what,haiwezekani kuwa vijana wetu wauliwe hovyo wakati hawana siraha yoyote.
Nashauri wanipe tenda ya kutengeneza mishale ya sumu,ninao ujuzi mkubwa sana,Moja chali kifo cha mende
Rais Samuya arudi kwao Zanzibar
Waliouliwa juzi walikuwa na mapanga? Sheikh majini alikuwa na panga,mwandishi wa habari ndugu Tindwa alikuwa na panga?
Wewe hutakufa!? Wangapi Leo hii wamekufa bila ya kubeba mapanga??
Ukitoka uje kabisa na sanda yako,maana gharama za kuwapa watu kwa kifo cha kujitakia hatutaki
Yeah.Maandamano hayatakiwi na serikali, no matter how beautiful people will plan the event.
They will always be some ass whippin to my fellow black brothers😄
Kama waNepal waliiangusha serikali kwa sababu tu ya kuzima mtandao, tuna kila sababu ya kuiondoa serikali ya CCM madarakani. Huwevi kuua, kuteka watu na bado unatisha na kukamata watu eti tukae kimya tu. Hapana HapanaWe kapuku tuache
Kwa hiyo unawashauri waishi kwa amani bila mkate wao wa kila siku?Yeah.
Maandamano pekee yanayopendwa na viongozi wetu ni yale ya kuwasifia.
Kama yale yanayofanywa na UVCCM.
Kinyume na kusifia fanya maandamano at your own risk yawe ya amani au la.
Mkuu ishu sio kuwabeza au kuponda au kuwakatisha tamaa, ishu hamjajipanga hamna zana nyie mtakufa wengi, kwa mfano juzi magaidi walikufa wangapi na nyie raia mlikufa wangapi? walau muende na mitutu basi sio kama kondoo, wote mabadiliko tunayataka lakini sio ya bila mipango makini.Nimejifunza JF baadhi ya members huwa hawaamini vitu hadi vitokee na wengine wana mitazamo hasi. Maandamano ya mwanzo waliyabeza na siku hiyo asubuhi walianza kufungua manyuzi na kubeza kwamba watanzania ni waoga na hamna kitu kitafanyika. Na wengine waliwakatisha watu tamaa na kupinga, Taarifa imetoka tena watu wale wale ninawaona wamejitokeza kubeza na kuponda.
Kupitia bandiko hili ninaendelea sana kujifunza tabia za mwanadamu na namna tusivyo na misimamo.
Uko Tz au wapi mkuu hujui loloteAhaa nimetulia siku nyingi tu.ila msiendd Tena kizembe.chuma hata ukae MITA 100 inakupasua na panga lako.nafikiri mnatakiwa mfikiri Tena jinsi ya kumshinda aduu yenu.ndo maana sijasikia mpaka Sasa kama Kuna polisi aliyekufa unajua kwanini?
Mnaonywa tena, tusisubiri yatokee.Gen Z hawapoi hawaboi, wanasema hii kesi haijaisha, wapo kwenye plan ya kuja na maandamano mapya siku ya uhuru 09/12.
Wanasema maandamano hayo yatapewa jina la Liberation Day.
Aione
IGP
Jumanne Muliro
Kwamba nashauri wasiandamane au?Kwa hiyo unawashauri waishi kwa amani bila mkate wao wa kila siku?
Uko tayari kuuzwa kama bidhaa sokoni ilhali hakuna uhuru wa kutoa maoni na kusikilizwa?Hatukubali kuichoma nchi yetu moto. Wengine hatuna pa kwenda, nyumbani ndio hapa. Hiyo haki haitakuwepo na hautai enjoy kama hakuna Amani.
Ni bora hiyo CCM kuliko machafuko na uvunjivu wa Amani.
Ndivyo binadamu walivyo, hata kipindi babu zetu wanapigania uhuru, kulikuwepo na baadhi ya watu watanganyika walimwambia Nyerere kuwa hatuwezi kupata uhuru, ni risk sana kuwapinga wakoloni etc. Lakini Nyerere hakukata tamaa hadi tukapata uhuru. Sasa uhuru wetu umepokwa tena na wakoloni weusi lazima tusimame imara wala tusiogopeNimejifunza JF baadhi ya members huwa hawaamini vitu hadi vitokee na wengine wana mitazamo hasi. Maandamano ya mwanzo waliyabeza na siku hiyo asubuhi walianza kufungua manyuzi na kubeza kwamba watanzania ni waoga na hamna kitu kitafanyika. Na wengine waliwakatisha watu tamaa na kupinga, Taarifa imetoka tena watu wale wale ninawaona wamejitokeza kubeza na kuponda.
Kupitia bandiko hili ninaendelea sana kujifunza tabia za mwanadamu na namna tusivyo na misimamo.
JWTZ watoe ushirikiano 💯sio kuendekeza usalitiAwamu hii maandamano yaratibiwe vzr kupunguza madhara na pia namna ya kukabiliana na polisi kusudi nao wapate madhara stahiki.
Wenye elimu ya vilipuzi simpo simpo watoe waandamanaji wengi waipate kabla ya siku yenyewe