PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Kuna mizee humu mijinga na minafiki sana, unatoka mamvi jf kwa ajili ya kuchochea chuki tu kwa waliowazidi. Halafu yenyewe utaikuta imebaki tu humu kuleta viuchambuzi uchwara vyao mamamae.
 
Escobar enzi zake alikua anatoa Dau la $2000 kwa kila kichwa Cha askari polisi atakae uliwa..sisi hatujafika huko na siombei iwe hivyo,ila mambo haya yakiendelea tutaanza kampeni za kufata mapolisi nyumba kwa nyumba wanapolala tukawasalimie,.
 
Muungano hatuutaki maana ni mzigo kwa wananchi wa tanganyika
Kuvunja Muungano wetu, ni kitendo cha hovyo sana, tunatakiwa kulinda umoja wetu katika Muungano. Moja ya silaha kubwa hapa Afrika imekuwa fupa gumu ni kugawanyika tangu Uhuru na baada.

Nguvu ipo kwenye umoja, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ni ishara ya umoja wa Afrika, changamoto ni nyingi lakini tuzimalize kwa busara ya pamoja bila kugawanyika.
 
Mimi ntakuwa kwetu bagamoyo.ntawqpa sapoti kwenye mitandao .nisiwe mnafiki.
Mimi ndo yule NIPO LAKINI SIPO.😄😄😄
 
Tarehe 9/12 nimeona kuna maandamano makubwa sana kuliko yaliyopita nime thibitisha hilo ufisadi hautakiwi kutunikiwa tuzo bali mapambano. Wazee, watoto, kwa vijana wataandamana wote.

Nunua vitu vya msingi weka ndani kuwa na umeme wa ziada, tumia huduma za internet za kimataifa badala ya zile za mitandao ya Tanzania ambazo zinaweza kuzimwa kwa vitisho na mafisadi.
Niko tayari kwa lolote siku hiyo. Japo tulikuwa tunaomba iwe tarehe 11.11.2025
1.Kisasi Kwa polisi wote Tanzania
2. KISASI Kwa Kila mwana CCM
3.KISASI KWA VYOMBO VYA HABARI VYOTE HASA TBC na wafanyakazi wake
4.Ikulu lazima ichukuliwe
 
Back
Top Bottom