PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Tanzania will never be the same. Kabla ya maandamano ya tarehe 29, Gen Z waliapa kuandamana na kuchoma vituo vya mafuta, Polisi walipuuza, lakini sote ni mashahidi vituo vya mafuta vilitiwa kiberiti .

Maandamano ya 09/12/2025 Gen Z wameapa kuandamana na silaha, na wanazisaka silaha kwa udi na uvumba.

Afande Muliro kula chuma iyo
Kumbe kuchoma moto mali za watu na za umma mlipanga kabisa,siyo kwamba mlifanya baada ya kupigwa risasi!!
Silaha siyo maandazi,watajifunzia wapi kuzitumia?
 
Hii taarifa ina ukweli..?

Kama ni ukweli basi hatuna viongozi na wanapaswa kuondolewa haraka sana kwa msaada wa kimataifa.

Hawa watu wanaenda kukiuwa chama cha mapinduzi kijinga sana.
Hawa jamaa hawana akili kabisa mkuu. Wewe jiulize, licha ya mauaji yote waliyosababisha. Wanathubutu vipi, kuendesha kesi za rais zaidi 150 kwa kuwapa kesi za uhaini? Na bado akina Gwajima, Heche, Lema n.k wanasubiriwa kupewa kesi za uhaini. Unaona wana akili sawasawa hawa?
 
Hongera Vijana jeuri na waasi dhidi ya mifumo katili kwa kujitokeza kwa wingi kuwazika ndugu zetu tukutane tarehe 9/12 tuje na nguvu zote.

Ndugu zetu walio wauwa watalipa tunawajua na hakuna wa kutuzuia kuwawajibisha watalia machozi muda utaongea.
 
Asante 🙏🏿🙏🏿🙏🏿

9YuV-t8gibNX29HdbyNWD_JWnaZegc9DVx7x5mJnVBg (1).jpg
 
Back
Top Bottom