Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
- Thread starter
-
- #861
Suck a dick BitchWamehapa✖️
Wameapa✔️
Siraha✖️
Silaha✔️
Mawazo ya kinyumbu, kwa akili hizi dawa yenu ni kuchapwa risasi tu
Muulize Muliro wananchi kupigwa na life Bullet ni vita?Sasa ni vita hiyo?
Tick tockUmepata wapi hii habari
*** huyo jamaaUnaweza kabisa kulisaidia jeshi
Hatari sema Mimi ndio sijui majina ya watafuta haki huko tiktok aisee ningekua nashinda tiktokTick tock
Kumbe kuchoma moto mali za watu na za umma mlipanga kabisa,siyo kwamba mlifanya baada ya kupigwa risasi!!Tanzania will never be the same. Kabla ya maandamano ya tarehe 29, Gen Z waliapa kuandamana na kuchoma vituo vya mafuta, Polisi walipuuza, lakini sote ni mashahidi vituo vya mafuta vilitiwa kiberiti .
Maandamano ya 09/12/2025 Gen Z wameapa kuandamana na silaha, na wanazisaka silaha kwa udi na uvumba.
Afande Muliro kula chuma iyo
Live bullets,hii inaonesha ni kiasi gani elimu yako ya kuungaungaMuulize Muliro wananchi kupigwa na life Bullet ni vita?
ata kama utakuwa unaf¥rwa muda huo ni wewe tuSifi mimi.ntakuwa nipo ndani nimelala
Huyo anatisha watu Kwa kutumia cyber security personnel wa UDOM🤣VPN ndio mwisho wa mchezo sababu jf hafanyi kazi bila VPN sikuhizi.
Hawa jamaa hawana akili kabisa mkuu. Wewe jiulize, licha ya mauaji yote waliyosababisha. Wanathubutu vipi, kuendesha kesi za rais zaidi 150 kwa kuwapa kesi za uhaini? Na bado akina Gwajima, Heche, Lema n.k wanasubiriwa kupewa kesi za uhaini. Unaona wana akili sawasawa hawa?Hii taarifa ina ukweli..?
Kama ni ukweli basi hatuna viongozi na wanapaswa kuondolewa haraka sana kwa msaada wa kimataifa.
Hawa watu wanaenda kukiuwa chama cha mapinduzi kijinga sana.
Hawana uwezo hata wakijipanga safari hii tunakuja na wimbi sio la kawaida utaona misiba ya wauwaji ambao ni polisi kila kona wananchi wananguvu kuliko polisiWe nae naona kama uwauzia taarifa kupitiliza,, kumpigia kelele adui kabla hujamgusa ni kumshtua akae vizuri,
Inatakiwa upige yowe ukishakuwa umemmaliza