PostGE2025 Gen Z hawapoi: Desemba 9, 2025 kuja na maandamano mapya

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Please Gen Z kesho D9 mkichukua nchi please hakikisheni mnahalalisha bangi.

Mimi babu yenu umri umenipita. Tulipigana sana ujanani ihalalishwe ikashindikana.

Kwa hiyo nyie mnayo fursa hii ya kipekee na historia itawakumbuka milele.
 
Babu hatutakuangusha asee. Tena hiyo itakuwa ya kwanza hata kabla ya katiba.

adriz
 
Leo #MariaSpaces @mariastsehai #X-twitter saa 2 alafu baadaye tutaenda Tiktok πŸ”₯ tukamilishe mipango ya #D9
Focus people!

πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

#D9 πŸ“ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ #SAMIAMUSTGO πŸ“
 
Kama hauna mtoto haujaoa, hauna kazi ya kueleweka haujakamilisha Mipango yako hapa Dunian usitoke JUST PRECAUTION.
 
πŸ“Œ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ’• πŸ«‚
πŸ“Œ
Join live on #X_space now.... πŸ”₯ πŸ€™πŸΏ
#D9 πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ“ #SamiaMustGo πŸ“
πŸ“

#riseupTanzania πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ πŸ‡ΉπŸ‡Ώ
 
Wauwaji wamezidiwa na wateja, sisi mlie au mnune tutaandamana hakuna wa kutubabaisha tutaandamana bila kikomo kuwafurusha waliojisimika madarakani .

Kesho tunachukua nchi yetu rasmi sababu kuu za maandamano lazima zitatuliwe mtake msitake.
 
Please Gen Z kesho D9 mkichukua nchi please hakikisheni mnahalalisha bangi.

Mimi babu yenu umri umenipita. Tulipigana sana ujanani ihalalishwe ikashindikana.

Kwa hiyo nyie mnayo fursa hii ya kipekee na historia itawakumbuka milele.
Pamoja na mirungi.
 
Kaaata utawala wa CCM, Kataa Utumwa, CCM ni chama cha majambazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…