Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 46,398
- 102,530
Nasikia Lucas Mwashambwa kakimbilia mbwinde
Anapelekewa moto porini na popobawa.Nasikia Lucas Mwashambwa kakimbilia mbwinde
bora vibaka kuliko wauwaji na watekajiAisee
Kweli ni lilikuwa kundi la vibaka
Mbona bibi yako nae alikuwepo,nae ni kibakaAisee
Kweli ni lilikuwa kundi la vibaka
AiseKama hamjajipanga HAMUWEZI kuwashinda polisi.mtamwaga damu za watu bure.wenzenu Wana risasi wewe hata uje na panga mwenzio ana kutungua tu.
Fala kweli 😁Kuelekea Maandamano yanayotarajiwa kuanza alfajiri ya leo mi naangalia tu! 😎.
Mkuu acha kunichekesha 😂😂, Mimi nafuatilia story bendera kupepea nusu mlingoti.Fala kweli 😁
nyie ndo mmesababisha haya yote maana kila kitu mlikuwa mkiambiwa mnaitika ndio mkuu😀Please Gen Z kesho D9 mkichukua nchi please hakikisheni mnahalalisha bangi.
Mimi babu yenu umri umenipita. Tulipigana sana ujanani ihalalishwe ikashindikana.
Kwa hiyo nyie mnayo fursa hii ya kipekee na historia itawakumbuka milele.
😁Mkuu acha kunichekesha 😂😂, Mimi nafuatilia story bendera kupepea nusu mlingoti.
Aisee nini we Mangi?Aise
Mambo yamekuwa buu buuAisee nini we Mangi?