Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Hili Nchi sijui kama itakuja kutulia. Hapo naamini maneno ya prof Lumumba wa Kenya aliyesema"
In the history of any country if there's been death it will never be the same again"
Gen Z wakiamua jambo lao wanafanya so wamekuja na time table kuwa kama maandamano ya D9 hayatafikiwa Marengo Yao basi watakuja na J12.
Hii ni kwamba 12/01/2026 kitanuka tena
Hii itakuwa hatari kwa tourism industry.
Aione
Samuya
JK
Muliro
Mto wa mbu,
Manhattan