Mto wa mbu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2021
- 4,507
- 11,367
Tunamaliza mchezo D9.Hii ni idea mbaya maana kuna watu wataona wasitoke D9 ili wasubiri hiyo J12,
na pia kimentality inaharibu kuona Kama tunaweza kutofanikisha hili jambo saivi hivyo tutalifanya hata baadae.
Yeee mamaGuys guys guys guys guys guys guys guys guys guys guys guys guys guys guys hatupoi
Mmh hii umeitoq wapi kakaHili Nchi sijui kama itakuja kutulia. Hapo naamini maneno ya prof Lumumba wa Kenya aliyesema"
In the history of any country if there's been death it will never be the same again"
Gen Z wakiamua jambo lao wanafanya so wamekuja na time table kuwa kama maandamano ya D9 hayatafikiwa Marengo Yao basi watakuja na J12.
Hii ni kwamba 12/01/2026 kitanuka tena
Hii itakuwa hatari kwa tourism industry.
Aione
Samuya
JK
Muliro
Mto wa mbu,
Manhattan
Nashangaa etiJ12 imetoka wapi ww mzee, kazi tunaimaliza D9
Huyu guys asituvurugeNashangaa eti