Gen Z hawapoi wamesema kama demands zao hazitatimia D9 basi watakuja na J12

M12 Ikibuma, Ikifika M26 (Muungano 26) kwa maana ya 26/04 itashirikisha ba wale wa visiwani.
 
Hii ni idea mbaya maana kuna watu wataona wasitoke D9 ili wasubiri hiyo J12,

na pia kimentality inaharibu kuona Kama tunaweza kutofanikisha hili jambo saivi hivyo tutalifanya hata baadae.
Ni mbaya sana ki uchumi
Sanaaaa kwa serikali na mtu mmoja mmoja
Hata socially huwez panga mipango

So sio rahis
 
 
Hii ni idea mbaya maana kuna watu wataona wasitoke D9 ili wasubiri hiyo J12,

na pia kimentality inaharibu kuona Kama tunaweza kutofanikisha hili jambo saivi hivyo tutalifanya hata baadae.
Akili si hana,anaandika tu,hata kuandika kiswahili shida,yaani hapa kaanika mengi,hana uhakika kama 9D itakuwepo,9D siyo maandamano yasiyo na kikomo tena,yeye na wenzie hawajui wanaotaka nini
 
Guys msitutoe kwenye malengo Guys D9 linakufa jitu Guys!
Lazima tumalize mchezo D9. HIZO J12, A26 zitatuchelewesha tu. Na watakuja na strategies nyingi za kutupumbaza akili na kujifanya wanatujari sana vijana.
Tukishindwa kumuondoa huyo kibibi D9 basi option iliyobaki ni kujipanga kuingia msituni tu. Tutafute siraha baada ya miaka miwili ama mitatu tunakiwasha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…