Tunapinga Azimio Na. 2 la kuundwa kwa Tume ya Upatanishi na Usuluhishi.
SABABU: Linapingana na Azimio Na. 4 linalotaka wauaji wakamatwe wafikishwe mahakamani.
MANTIKI: Unapatana vipi na miuaji ambayo unasema tuyapeleke mahakamani ?????????
Duniani kote hayo ma truth and reconciliation commission yanakuja vita ishaisha, ndio watu wanajiuliza tuwafanyeje survivors wa madhalimu waliotuua, ambayo hawana tena uwezo wa kudhuru.
VIKOSI VYA MAUAJI VIMESHADHIBITIWA MPAKA MUONGELEE KUPATANA NAO ??????? TANGANYIKA IMESHAKOMBOLEWA NA KATIBA MMEPATA ?????
Hatutaki MARIDHIANO sembuse UPATANISHI. Tunachotaka ni KU ADVANCE MADAI YETU na YATEKELEZWE. Kwa mfano, tunataka referendum vcte ya Muungano. Tunataka Katiba mpya. Tunataka tuone wauaji wamekamatwa. Tunataka serikali ya mpito chini ya jeshi. Tunataka Tume Huru ya Uchaguzi. SIO UPATANISHI KATIKATI YA HARAKATI ZA UKOMBOZI.
VINGINEVYO: Hapatatulia. Wakija mia tatu, mtaua mia mbili, mia moja watawafikia ndani ya ukuta, kama alivyosema M-NEC Gwajima. Kuna siku silaha zitafika kwa wananchi. Nchi zenye vita duniani wananchi walifikaje wakapata silaha, mpaka wanazing'oa serikali zao kwa mtutu, hamjiulizi hivi vitu ?????????????? Kwenye nchi ya rushwa na umaskini kama hii unadhani demand ya bunduki ikija mtaani hazitapatikana ?????????????
Imetolewa na Wahanga wa:
Mauaji, Utekaji, Ubaghazaji wa Haki, Uhondomolewaji wa maliasili za Tanganyika, kubakwa, kunajisiwa na kulawitiwa kwa demokrasia kwa robo ya bunge kuteuliwa wake zao, wakwe, watoto na wadogo zake Rais wa Zanzibar, Rais Mstaafu Kikwete, na Rais Samia, ubanangaji wa mali fedha za Tanganyika, Tume Huru Feki, Maagizo kutoka juu kwenda kwa mahakama na polisi kuzuia haki, Watu binafsi wachafu kupewa tenda za kijeshi, viongozi wa Usalama wa Taifa kubaghaza mali za umma na ku posti ma Bughatti ya watoto wao, kutujengea mashule ya kata yanayonuka kufelisha wakati watoto wao hawasomi humo, fedha za ku fund NHIF kupelekwa kutibu viongozi na wabunge nje ya nchi, kubananga na kutweza utu na akili za Mtanganyika kwa kuleta Mwarabu wa jangwani asimamie misitu! Na mengine kede kede kede. Haya yanarekebishwaje na Wizara ya Vijana? Watu wa serikali, mnaoandika spichi za Rais, mna nini vichwaniiiiiiiii ??????