PostGE2025 Gen Z: Msamaha wa Samia umekataliwa. Tunasisitiza wafungwa wote waachiwe haraka

PostGE2025 Gen Z: Msamaha wa Samia umekataliwa. Tunasisitiza wafungwa wote waachiwe haraka

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Hii inapatikana kwenye platform nyingine?
 
HAO SIYO GEN Z HAO NI VIJANA WA KANISA KATOLIKI TUMESHAJUA HILA ZAO..SASA WATHUBUTU TUONE
 
Washenzi wakubwa,saiz fyoko fyoko zimekuwq nyingi nchini hapa

ENZI ZILE MKATOLIKI MWENZENU ALIPOUA DEMOKRASIA NA KUTAKA KUFIKIA HATUA HADI YA KUJIONGEZEA MUDA HAMKUSEMA WALA KUTHUBUTU KUINUA KOPE,LEO MIDOMO JUU KISA MMEONA RAIS MWANAMKE NA NI MUISLAM,NGOMA HII TUTAICHEZA SOTE SAFARI HII
 
WAKATOLIKI MTAHANGAIKA SANA
SERIKALI HAIWEZI KUPEWA AMRI NA KANISA HATA SIKU MOJA
downloadfile-4.jpg
 
Mada hii inatakiwa iwe kule juu KILELENI, ili ionekane na kujadiliwa kwa kina zaidi.

Maudhui ya mada hii yanatakiwa wasambazwe ndani ya jamii kati ya sasa hadi Dec09

Naomba mapendekezo ya njia rahisi ya kuyatimiza haya mambo mawili.

Pongezi nyingi sana kwa walio husika kutengeneza kazi hii.
 
Washenzi wakubwa,saiz fyoko fyoko zimekuwq nyingi nchini hapa

ENZI ZILE MKATOLIKI MWENZENU ALIPOUA DEMOKRASIA NA KUTAKA KUFIKIA HATUA HADI YA KUJIONGEZEA MUDA HAMKUSEMA WALA KUTHUBUTU KUINUA KOPE,LEO MIDOMO JUU KISA MMEONA RAIS MWANAMKE NA NI MUISLAM,NGOMA HII TUTAICHEZA SOTE SAFARI HII
Huwa nashindwa kuelewa ilikuwa kuwaje wewe ulibaki nyuma, baada ya wenzako wote kuswagwa na kuelekea Msumbiji.

Huna nafasi kabisa katika jumuia ya waTanzania itakayo kuja baada ya Samia kupata haki anayoistahili kwa matengo yake maovu.
 
Back
Top Bottom