RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Hotuba ya jana imethitisha Kwamba hakuna haja ya maandamano, Chama kimeshafanya homework ya kutosha na kujiridhisha "smooth transition" ndio mechanism pekee inayoweza tumika!
Wakati nyie mkijikita kwenye hasira ya hotuba ya jana wengine walijikita kwenye body language, kikohozi plus panic mode na mawimbi ya sauti yanavyopanda na kushuka yakiendana na systolic and diastolic pressure!
Hakuna haja ya maandamano na hotuba ile imethibisha kwamba maandamano hayahitajiki kabisaa Bali tayari mchezo wa draft umeisha, kwanini mtumie Tena nguvu wakati Transition tayari!!?
Ccm chama chetu kina misingi yake. Moja ya misingi ni kushika dola Kwa kupitia yeyote hata kama ni wewe, halafu kama una FAA au hufai watajua wao Nini kifanyike ili anaefaa ashike!!
Hotuba ya Jana, imethibitisha kwamba KAZI na utu kweli inasonga mbele, na kweli tutasonga bila maandamanao!!
Naomba mnielewe!
Mungu ibariki Tanzania!