PostGE2025 Gen-z msiandamane! CCM ni master of check and balance, Tanzania mpya IPO jikoni

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Lakini huo mtindo mbaya sana. Kwanini hiyo kazi isingefanyika na wananchama kumnyima kura kwanza kwenye kamati kuu?????? Ndiyo kaharibu ila sisi wanachama ndiyo tumezingua kuwa na mtu ambaye ni mjinga mjinga
Wanakushauri,ukishupaza shingo wanakupa unachotaka halafu unaingizwa mtegoni unajaa,then "KAZI ya Mungu Haina makosa,Mungu kaamua ugomvi"
 
Hotuba ya jana imethitisha Kwamba hakuna haja ya maandamano, Chama kimeshafanya homework ya kutosha na kujiridhisha "smooth transition" ndio mechanism pekee inayoweza tumika!

Wakati nyie mkijikita kwenye hasira ya hotuba ya jana wengine walijikita kwenye body language, kikohozi plus panic mode na mawimbi ya sauti yanavyopanda na kushuka yakiendana na systolic and diastolic pressure!

Hakuna haja ya maandamano na hotuba ile imethibisha kwamba maandamano hayahitajiki kabisaa Bali tayari mchezo wa draft umeisha, kwanini mtumie Tena nguvu wakati Transition tayari!!?

Ccm chama chetu kina misingi yake. Moja ya misingi ni kushika dola Kwa kupitia yeyote hata kama ni wewe, halafu kama una FAA au hufai watajua wao Nini kifanyike ili anaefaa ashike!!

Hotuba ya Jana, imethibitisha kwamba KAZI na utu kweli inasonga mbele, na kweli tutasonga bila maandamanao!!

Naomba mnielewe!

Mungu ibariki Tanzania!
Labda jk afe kwanza vinginevyo hamna msisiemu mwenye nguvu wala akili ya kumzidi! puppets tu
 
Hotuba ya jana imethitisha Kwamba hakuna haja ya maandamano, Chama kimeshafanya homework ya kutosha na kujiridhisha "smooth transition" ndio mechanism pekee inayoweza tumika!

Wakati nyie mkijikita kwenye hasira ya hotuba ya jana wengine walijikita kwenye body language, kikohozi plus panic mode na mawimbi ya sauti yanavyopanda na kushuka yakiendana na systolic and diastolic pressure!

Hakuna haja ya maandamano na hotuba ile imethibisha kwamba maandamano hayahitajiki kabisaa Bali tayari mchezo wa draft umeisha, kwanini mtumie Tena nguvu wakati Transition tayari!!?

Ccm chama chetu kina misingi yake. Moja ya misingi ni kushika dola Kwa kupitia yeyote hata kama ni wewe, halafu kama una FAA au hufai watajua wao Nini kifanyike ili anaefaa ashike!!

Hotuba ya Jana, imethibitisha kwamba KAZI na utu kweli inasonga mbele, na kweli tutasonga bila maandamanao!!

Naomba mnielewe!

Mungu ibariki Tanzania!
Lengo la maandamano n kudai maiti za ndugu zetu
 
Sidhan kama unaloliwaza ni sahihi
Lakini sahv mcc ni pango la Walanguzi
Na kama ni kucheza karata round hii wamezipanga vzr na ndio maana vilio vingi vinatokea huku chini lakini kule juu havifiki
 
Hotuba ya jana imethitisha Kwamba hakuna haja ya maandamano, Chama kimeshafanya homework ya kutosha na kujiridhisha "smooth transition" ndio mechanism pekee inayoweza tumika!

Wakati nyie mkijikita kwenye hasira ya hotuba ya jana wengine walijikita kwenye body language, kikohozi plus panic mode na mawimbi ya sauti yanavyopanda na kushuka yakiendana na systolic and diastolic pressure!

Hakuna haja ya maandamano na hotuba ile imethibisha kwamba maandamano hayahitajiki kabisaa Bali tayari mchezo wa draft umeisha, kwanini mtumie Tena nguvu wakati Transition tayari!!?

Ccm chama chetu kina misingi yake. Moja ya misingi ni kushika dola Kwa kupitia yeyote hata kama ni wewe, halafu kama una FAA au hufai watajua wao Nini kifanyike ili anaefaa ashike!!

Hotuba ya Jana, imethibitisha kwamba KAZI na utu kweli inasonga mbele, na kweli tutasonga bila maandamanao!!

Naomba mnielewe!

Mungu ibariki Tanzania!
Nigga pls, hakuna facts hata moja ambayo umeandika

If ccm ingekuwa makini huyu mama hakutakiwa kuwa hapo, no body ataamini check and balances wakati ccm ina track record ya kuweka wrong persons kwneye hiyo positions

Eti chama kina misingi, not any more bro
 
Lakini huo mtindo mbaya sana. Kwanini hiyo kazi isingefanyika na wananchama kumnyima kura kwanza kwenye kamati kuu?????? Ndiyo kaharibu ila sisi wanachama ndiyo tumezingua kuwa na mtu ambaye ni mjinga mjinga

Nigga pls, hakuna facts hata moja ambayo umeandika

If ccm ingekuwa makini huyu mama hakutakiwa kuwa hapo, no body ataamini check and balances wakati ccm ina track record ya kuweka wrong persons kwneye hiyo positions

Eti chama kina misingi, not any more bro
Kikwete kaamua kutumia njia ngumu sana kurudisha madaraka kamili mikononi mwake na watu anaowapanga. Sasa hivi anateketeza yoyote yule hata huyo Mama anamtumia bila kujua na akishaharibu vya kutosha lakini amemaliza kazi anayoifanya kwa niaba yake bila kujua, naye atajua atamalizana naye vipi.

Hata kule upinzani ni yeye anayepanga upinzani wa "aftermath" utakuwaje na utafananaje.

Anapanga uwezekano wa uwepo wa CCM au isiwepo ila madaraka yarudi kwake na kwa watu wake.
 
Back
Top Bottom