RESILIENT KATO
JF-Expert Member
- Aug 21, 2024
- 4,504
- 8,842
Bado hamjanielewa kumbe!!!?Mungu hawezi kubariki upumbavu
Hujaelewa na wewe!!!?Kupatikana katiba mpya na tume ya huru ya uchaguzi ni kuanguka kwa CCM.
CCM haiwezi kutoa maridhiano ya aina hii kwa amani. NEVER.
Hamna kitu kama hicho acha kudanganya watuHotuba ya jana imethitisha Kwamba hakuna haja ya maandamano,Chama kimeshafanya homework ya kutosha na kujiridhisha "smooth transition" ndio mechanism pekee inayoweza tumika!
Wakati nyie mkijikita kwenye hasira ya hotuba ya jana wengine walijikita kwenye body language,kikohozi plus panic mode na mawimbi ya sauti yanavyopanda na kushuka yakiendana na systolic and diastolic pressure!
Hakuna haja ya maandamano na hotuba Ile imethibisha kwamba maandamano hayahitajiki kabisaa Bali tayari mchezo wa draft umeisha,kwanini mtumie Tena nguvu wakati Transition tayari!!?
Ccm chama chetu kina misingi yake,Moja ya misingi ni kushika dola Kwa kupitia yeyote hata kama ni wewe,halafu kama una FAA au hufai watajua wao Nini kifanyike ili anaefaa ashike!!
Hotuba ya Jana ,imethibitisha kwamba KAZI na utu kweli inasonga mbele,na kweli tutasonga bila maandamanao!!
Naomba mnielewe!
Mungu ibariki Tanzania!
Hata the late jpm hakuvuka mstari uliochorwa vikubwa hivyo!!nielewe!Hamna kitu kama hicho acha kudanganya watu
Kwamba watu wa ndani wameshafanya yao? Mzigo unafanyakazi taratibu? tusubiri matokeo?Hujaelewa na wewe!!!?
Wewe umeelewa kabisa!Kwamba watu wa ndani wameshafanya yao? Mzigo unafanyakazi taratibu? tusubiri matokeo?
I said this yesterdayFisiemu wanapanga mkakati wa Kumkolimba.
Soon hatutokuwa nae.
Amekuwa kero hata kwao.
Mimi nimekuelewa vyema sana..ila ni vile damage iliyofanyika ni kubwa sana watu wamepoteza ndugu zao kwa kuuliwa kinyama, na Bado wauaji wnadunda na wengine ndio hao waliotutukana Jana..so they are impatient to see that it will happen...but when?...kwa tunaoelewa hivi vitu happens in a way no one expected anything ..๐Hujaelewa na wewe!!!?
Lakini huo mtindo mbaya sana. Kwanini hiyo kazi isingefanyika na wananchama kumnyima kura kwanza kwenye kamati kuu?????? Ndiyo kaharibu ila sisi wanachama ndiyo tumezingua kuwa na mtu ambaye ni mjinga mjingaHotuba ya jana imethitisha Kwamba hakuna haja ya maandamano,Chama kimeshafanya homework ya kutosha na kujiridhisha "smooth transition" ndio mechanism pekee inayoweza tumika!
Wakati nyie mkijikita kwenye hasira ya hotuba ya jana wengine walijikita kwenye body language,kikohozi plus panic mode na mawimbi ya sauti yanavyopanda na kushuka yakiendana na systolic and diastolic pressure!
Hakuna haja ya maandamano na hotuba Ile imethibisha kwamba maandamano hayahitajiki kabisaa Bali tayari mchezo wa draft umeisha,kwanini mtumie Tena nguvu wakati Transition tayari!!?
Ccm chama chetu kina misingi yake,Moja ya misingi ni kushika dola Kwa kupitia yeyote hata kama ni wewe,halafu kama una FAA au hufai watajua wao Nini kifanyike ili anaefaa ashike!!
Hotuba ya Jana ,imethibitisha kwamba KAZI na utu kweli inasonga mbele,na kweli tutasonga bila maandamanao!!
Naomba mnielewe!
Mungu ibariki Tanzania!
We kweli hamnazo CCM hawahawa walio mshangilia pale DODOMA ndio una waamini hawaHotuba ya jana imethitisha Kwamba hakuna haja ya maandamano,Chama kimeshafanya homework ya kutosha na kujiridhisha "smooth transition" ndio mechanism pekee inayoweza tumika!
Wakati nyie mkijikita kwenye hasira ya hotuba ya jana wengine walijikita kwenye body language,kikohozi plus panic mode na mawimbi ya sauti yanavyopanda na kushuka yakiendana na systolic and diastolic pressure!
Hakuna haja ya maandamano na hotuba Ile imethibisha kwamba maandamano hayahitajiki kabisaa Bali tayari mchezo wa draft umeisha,kwanini mtumie Tena nguvu wakati Transition tayari!!?
Ccm chama chetu kina misingi yake,Moja ya misingi ni kushika dola Kwa kupitia yeyote hata kama ni wewe,halafu kama una FAA au hufai watajua wao Nini kifanyike ili anaefaa ashike!!
Hotuba ya Jana ,imethibitisha kwamba KAZI na utu kweli inasonga mbele,na kweli tutasonga bila maandamanao!!
Naomba mnielewe!
Mungu ibariki Tanzania!
๐๐๐๐๐Hata kama hawataandamana ila jasho limewatoka ๐ ๐ jana mtu mpaka kawashikia kiuno ila Gen z wanajua kukaba mtamtembeza mama watu chupi kichwani๐