tonicimmobility
JF-Expert Member
- Jun 17, 2025
- 493
- 1,040
Naunga hoja mkuu, itabidi watueleze vizuriMambo ya kupumbaza watu ilikuwa miaka ya 60 huko,au mtu anajiskia kumtesa mtu anafungua kesi isiyo na mbele wala nyuma.sasa hiki ni kizazi kingine sio alichokiacha Nyerere cha ndio mzee hapa tuelezeni ukweli
Mabango tarehe 29 pia yabebe picha za watu waliokufa na maswali yakuuliza wapo wapi hap watu
Naungana na wewe.... Lakini genZ wa Nepal na hawa majirani zetu walitoa wapi mizozi?Nadhani ni bora mkangoja siku husika ife, kwa sasa ni vema tukajua ni nani atadhamini msosi na mambo mengine, si mnajua kazi bila sahani haiendi...
Hao walienda kula misosi ya wabunge Bungeni, hufatiliagi taarifa nini mkuu?...Naungana na wewe.... Lakini genZ wa Nepal na hawa majirani zetu walitoa wapi mizozi?
Niliuliza nikijua aliwaza kula anajua jibu wapi pa kupata msosi.... get back to my comment and notice I was replyingHao walienda kula misosi ya wabunge Bungeni, hufatiliagi taarifa nini mkuu?...
Mtakula nyumbani kwa Samia wakati huo yeye kakimbiaNadhani ni bora mkangoja siku husika ife, kwa sasa ni vema tukajua ni nani atadhamini msosi na mambo mengine, si mnajua kazi bila sahani haiendi...
Unaangalia Televisheni kwenye besen la kufulia nguo au?Mtakula nyumbani kwa Samia wakati huo yeye kakimbia