Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Ni kilio cha wasanii kila kona.. Wamekumbuka shuka kumeshakucha.. !
Hakuna drama tena
Hakuna new followers tens
Hata wanaotoa nyimbo mpya hazi hit tena! Ni kilio na mahangaiko.. Gen Z wameshamalizana nao!
Phase 2 ni wanasiasa wa ccm..Top to bottom
Watatengwa kwenye shida na raha
Watanyimwa ukaribu na ushirikiano kwenye lolote, polite na wakati wore
Hawa watajumuishwa na machawa wote
Phase3
Ma askari wa jeshi la police na idara zake zote..,Maisha yao yanaenda kuwq magumu sana.. Huko tuendako watafika mahali watashindwa kufanyq kazi zao kwa ufanisi na wakikaa vibaya watapopolewa mawe
Traffic watashindwa kukagua nagari na kupokea bongo
Wapelelezi watashindwa kufika maeneo ya tukio nk
Phase 4
Wafanyabiashara walioungq mkono ccm.. Kwa namna Gen Z walivyo serious wanaweza kuja na kampeni ya kususia bidhaa zao.. Na kwa namna walivyo na umoja wanaweza kufanikiwa pakubwa
Phase 5
Viongozi wa dini zote ambao ni machawa.. Hawa si ajabu wakajikuta wanakosa waumini ama kujikuta wanazomewa ndani ya ibada na sehemu zenye mikusanyiko ya jumuiya. Itafika mahali kuvaa vazi la ibada itabidi kujitafakari sana
Nguvu wali yo nayo Gen Z sio ya kudharauliwa ama kupuuzwa hata kidogo.. Wakisema kitu wanamaanisha na wanatenda katika ukubwa wake! Ni watu wanaotaka matokeo na si hotuba na matokeo wanayotaka ni ya haraka! WASIPUUZWE!
BY the way nimemisi Kuona bendera na mavazi ya kijani mitaani..