PostGE2025 Gen Z Tanganyika: Phase ya kwanza ilikuwa wasanii, wameshamalizana nao

PostGE2025 Gen Z Tanganyika: Phase ya kwanza ilikuwa wasanii, wameshamalizana nao

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Feelings Vs Feelings
Ili feelings za Simba kufungwa ziwe felt ni LAZIMA zizizidi kwa mbali Sana Feelings za misiba ya Kuzika nguo na viatu.
 
Mchekeshaji Mkojani amewaomba vijana kwenda kutazama kazi zake YouTube apata hata fedha ya unga.

"Gen Z legezeni kidogo, unga nyumbani umeisha. Twendeni YouTube Gen Z" - Mkojani kupitia Instagram.
 
w
Kule Zanzibar sijui ilikiwa 2016 kuna mbunge wa kijani alishinda kwa mchongo aisee raia wakamuwekea ngumu hata akienda dukani wanagoma kumuuzia iwe sabuni au majani ya chai.
Mwisho akajiuzulu ubunge
hayo wanayaweza wa zenji. wa bara tulichelewa. wenzetu kipindi wanateseka hatukusimama nao. wameuwawa sana na kufanyiwa kila aina ya unyama kipindi hawaitaki ccm wala muungano
 
 
1765648166670.jpg
 
Siasa za CdM zina chuki, visasi, kuleta mgawanyiko, dhaifu na huwa wanafuraha kuona wengine wenye mtazamo tofauti wa kisiasa au kidini ni wanapata madhara au kuumia. Too sad! Mtu mzima over 50+ kufurahia kuporomoka kwa vijana wanaotafuta ridhiki yao kupitia sanaa.

Walikuwepo kabla wataendelea kuwepo.
 
TUTAWANYOOSHA.

Anaandika GODBLESS LEMA~

Ni rahisi sana kuwaweka CHAWA straight bila fujo yoyote. Hii ni kwa Gen Z na watu wengine wote.

Hatupigi kelele, hatutukani , tunapiga BAN.

1️⃣ Wakisema kuna show → USIENDE kabisa. FULL BAN
2️⃣ Kampuni inayofadhili hiyo show~BAN bidhaa zao zote
3️⃣ Ukumbi uliotumika , USIWEKE MIGUU~BAN
4️⃣ Makampuni yanayowasponsor kupitia radio, TV, mabango~BAN huduma zao
5️⃣ Pages zao kwenye social media~UNFOLLOW WOTE NOW. BAN

6️⃣ Streams zao (YouTube, Spotify, Boomplay, Apple Music) → DON’T PLAY. BAN
7️⃣ Ringback / caller tunes → ONDOA. BAN
8️⃣ Events wanazohudhuria kama guests → IGNORE kabisa. BAN
9️⃣ Brands zinazowachukua kama ambassadors → BAN hiyo brand
🔟 Media interviews zao → USITAZAME, USISKILIZE. BAN

1️⃣1️⃣ Merchandise zao → USINUNUE. BAN
1️⃣2️⃣ Hashtags zao → USITUMIE, USITRENDSHE. BAN
1️⃣3️⃣ Fan pages zinazowapromote → MUTE / BLOCK. BAN
1️⃣4️⃣ Clubs & lounges zinazowaplay → USIENDE. BAN
1️⃣5️⃣ Award shows wanazoteuliwa → USIPIGE KURA. BAN

🧠 Kanuni ya Gen Z na wananchi wote, Hakuna fujo. Hakuna matusi.
Attention = currency.
Ukikata support → nguvu inaisha.

👉 No support. Full BAN.
#GenZ #WatuWote #BAN #NoSupportNoShow

HUYU HAPA
1765649384993.jpg
 
Back
Top Bottom