PostGE2025 Gen Z Tanganyika: Phase ya kwanza ilikuwa wasanii, wameshamalizana nao

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,316
Reaction score
871,876
Ni kilio cha wasanii kila kona.. Wamekumbuka shuka kumeshakucha.. !
Hakuna drama tena
Hakuna new followers tens
Hata wanaotoa nyimbo mpya hazi hit tena! Ni kilio na mahangaiko.. Gen Z wameshamalizana nao!

Phase 2 ni wanasiasa wa ccm..Top to bottom
Watatengwa kwenye shida na raha
Watanyimwa ukaribu na ushirikiano kwenye lolote, polite na wakati wore
Hawa watajumuishwa na machawa wote

Phase3
Ma askari wa jeshi la police na idara zake zote..,Maisha yao yanaenda kuwq magumu sana.. Huko tuendako watafika mahali watashindwa kufanyq kazi zao kwa ufanisi na wakikaa vibaya watapopolewa mawe
Traffic watashindwa kukagua nagari na kupokea bongo
Wapelelezi watashindwa kufika maeneo ya tukio nk

Phase 4
Wafanyabiashara walioungq mkono ccm.. Kwa namna Gen Z walivyo serious wanaweza kuja na kampeni ya kususia bidhaa zao.. Na kwa namna walivyo na umoja wanaweza kufanikiwa pakubwa

Phase 5
Viongozi wa dini zote ambao ni machawa.. Hawa si ajabu wakajikuta wanakosa waumini ama kujikuta wanazomewa ndani ya ibada na sehemu zenye mikusanyiko ya jumuiya. Itafika mahali kuvaa vazi la ibada itabidi kujitafakari sana

Nguvu wali yo nayo Gen Z sio ya kudharauliwa ama kupuuzwa hata kidogo.. Wakisema kitu wanamaanisha na wanatenda katika ukubwa wake! Ni watu wanaotaka matokeo na si hotuba na matokeo wanayotaka ni ya haraka! WASIPUUZWE!

BY the way nimemisi Kuona bendera na mavazi ya kijani mitaani..
Your browser is not able to display this video.
 
Gaiizii what is Gen z
 
PHase3 wanaishi kama digidigi sahivi, wanabeba gwanda kwenye vibegi tunakutana kwenye daladala kama raia....gwanda wanavalia kwenye malindo yao tu, aibu sanaa na wanaishi kwa hofu kubwa sanaa
 
''More life kada mwenzangu mpambanaji ..! Mfalme wa Bongo fleva . Ningetamani siku yako ya kuzaliwa uwaombee msamaha wasanii wenzio hali zao mbaya sana . Mfano mwambino anasumbuliwa na UTI sugu hukuu 😂😂Alikiba '' Ameandika-Mwijaku
 
Ni kweli Polisi wanawakati mguumu sana, hata wao wenyewe wanakiri hilo...na wengiwao wamehamisha kabisa familiya zao kitaa...
Polisi wakishamaliza kutupiga risasi na kutuuwa huwa wanarudi kwao na hizi ndo nyumba zao ukiwa mgeni unaweza kudhan ni mabanda ya mifugo fullsut

Hivi mchana jua likiwaka huwa wanawezaje kukaa humu ndani au huwa wanatoka njee kusubiri jua lizame?

NB. Hapa ni Central Police Dodoma
 
Kule Zanzibar sijui ilikiwa 2016 kuna mbunge wa kijani alishinda kwa mchongo aisee raia wakamuwekea ngumu hata akienda dukani wanagoma kumuuzia iwe sabuni au majani ya chai.
Mwisho akajiuzulu ubunge
 
Mgambo kaingia 18 za vijana wahangaikaji, no more kuonewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…