MwananchiOG
JF-Expert Member
- Apr 4, 2023
- 1,970
- 4,037
Naunga mkono hoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani ishu Ni "dhalimu"Maza sio dhaifu kama Ruto. Wsimjaribu.
We ambae huendi kwenye mpira kujaza uwanja, ambae huombi mbinu za kubet mbona hujaenda kuandamana?Leo si ndio August 5???.
Ningeshangaa sana yaani mazuzu yaandamane. Taifa ambalo hata ukisema Simba vs yanga watacheza saa tisa usiku bado yatajaza uwanja wa taifa ,Lakini ukisema twendeni kuandamana ili mafisadi yakamatwe hupati watu barabarani. Taifa ambalo asubuhi saa mpaka saa tano yanajadili mpira wa bongo, saa sita mpaka saa tisa yanamjadili Mobeto na top aliyovaa, saa kumi mpaka saa moja yanajadili Zuchu masaa yanayobaki yanapeana mbinu za kuomba uzinzi na za kubeti eti yaje yaandame 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
A very hopeless society.
Katika Society zote zinazoandama kila siku, nipe moja wapo uliyoona imepata faida kutoka katika maandamano .?Leo si ndio August 5???.
Ningeshangaa sana yaani mazuzu yaandamane. Taifa ambalo hata ukisema Simba vs yanga watacheza saa tisa usiku bado yatajaza uwanja wa taifa ,Lakini ukisema twendeni kuandamana ili mafisadi yakamatwe hupati watu barabarani. Taifa ambalo asubuhi saa mpaka saa tano yanajadili mpira wa bongo, saa sita mpaka saa tisa yanamjadili Mobeto na top aliyovaa, saa kumi mpaka saa moja yanajadili Zuchu masaa yanayobaki yanapeana mbinu za kuomba uzinzi na za kubeti eti yaje yaandame 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
A very hopeless society.
Tanzania hata Bambo au Kingwendu anaweza kuwa rais na mambo yakaenda tu.Leo si ndio August 5???.
Ningeshangaa sana yaani mazuzu yaandamane. Taifa ambalo hata ukisema Simba vs yanga watacheza saa tisa usiku bado yatajaza uwanja wa taifa ,Lakini ukisema twendeni kuandamana ili mafisadi yakamatwe hupati watu barabarani. Taifa ambalo asubuhi saa mpaka saa tano yanajadili mpira wa bongo, saa sita mpaka saa tisa yanamjadili Mobeto na top aliyovaa, saa kumi mpaka saa moja yanajadili Zuchu masaa yanayobaki yanapeana mbinu za kuomba uzinzi na za kubeti eti yaje yaandame 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
A very hopeless society.
Na mondi na konde wakituwa portHawa wataandamana kuzipokea Yanga na Simba airport
Ni wajinga snNa mondi na konde wakituwa port
Ova
Watapata wanachokitafuta tanzania hatujawahi kulea huu ujinga , watapigika kisawasawa overKutoka katika Vyanzo mbalimbali vya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya mitaa, joto na vuguvugu la maandamano ya vijana wa kitanzania linaendela, chanzo ikisemekana ni kuchoka na hali ya ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, kulinda rasilimali za taifa ambazo siku za karibuni zimeonekana kuwa mnadani, matumizi mabaya ya fedha za umma na ziara za viongozi zisizokuwa na tija, pamoja na huduma muhimu kama bima za afya zikiondolewa.
Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya
Sio kila mwenye akili anajua kuzitumiaKatika Society zote zinazoandama kila siku, nipe moja wapo uliyoona imepata faida kutoka katika maandamano .?
Ndio nyie wafata mkumbo msiojielewa.
Na matamasha ya mziki singeli yawe mengi zaidiLabda muandamane kwa ajili ya mashine za betting ziongezwe na mpira uwe kila saa wanacheza tu