Tetesi: Gen Z Tanzania watangaza maandamano makubwa Jumatatu Agosti 5/2024 kutumia haki yao kikatiba kupinga ukosefu wa huduma mbalimbali nchini

Maza sio dhaifu kama Ruto. Wsimjaribu.
Kwani ishu Ni "dhalimu"

Ishu Ni resources, the riches of the country are in the minority.

Shida Ni mfumo na sio mtu.
Kenya wanapambana na mfumo dhalimu...sio Ruto.
 
Hio mbona ni AI; na wanatutangazia sisi UMMA au watangaziane wenyewe ili waandamane ?
 
Leo si ndio August 5???.

Ningeshangaa sana yaani mazuzu yaandamane. Taifa ambalo hata ukisema Simba vs yanga watacheza saa tisa usiku bado yatajaza uwanja wa taifa ,Lakini ukisema twendeni kuandamana ili mafisadi yakamatwe hupati watu barabarani. Taifa ambalo asubuhi saa mpaka saa tano yanajadili mpira wa bongo, saa sita mpaka saa tisa yanamjadili Mobeto na top aliyovaa, saa kumi mpaka saa moja yanajadili Zuchu masaa yanayobaki yanapeana mbinu za kuomba uzinzi na za kubeti eti yaje yaandame 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

A very hopeless society.
 
We ambae huendi kwenye mpira kujaza uwanja, ambae huombi mbinu za kubet mbona hujaenda kuandamana?
 
Leo si ndio August 5???.

Ningeshangaa sana yaani mazuzu yaandamane. Taifa ambalo hata ukisema Simba vs yanga watacheza saa tisa usiku bado yatajaza uwanja wa taifa ,Lakini ukisema twendeni kuandamana ili mafisadi yakamatwe hupati watu barabarani. Taifa ambalo asubuhi saa mpaka saa tano yanajadili mpira wa bongo, saa sita mpaka saa tisa yanamjadili Mobeto na top aliyovaa, saa kumi mpaka saa moja yanajadili Zuchu masaa yanayobaki yanapeana mbinu za kuomba uzinzi na za kubeti eti yaje yaandame 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

A very hopeless society.
Katika Society zote zinazoandama kila siku, nipe moja wapo uliyoona imepata faida kutoka katika maandamano .?

Ndio nyie wafata mkumbo msiojielewa.
 
Leo si ndio August 5???.

Ningeshangaa sana yaani mazuzu yaandamane. Taifa ambalo hata ukisema Simba vs yanga watacheza saa tisa usiku bado yatajaza uwanja wa taifa ,Lakini ukisema twendeni kuandamana ili mafisadi yakamatwe hupati watu barabarani. Taifa ambalo asubuhi saa mpaka saa tano yanajadili mpira wa bongo, saa sita mpaka saa tisa yanamjadili Mobeto na top aliyovaa, saa kumi mpaka saa moja yanajadili Zuchu masaa yanayobaki yanapeana mbinu za kuomba uzinzi na za kubeti eti yaje yaandame 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

A very hopeless society.
Tanzania hata Bambo au Kingwendu anaweza kuwa rais na mambo yakaenda tu.
 
Kutoka katika Vyanzo mbalimbali vya mitandao ya kijamii pamoja na baadhi ya mitaa, joto na vuguvugu la maandamano ya vijana wa kitanzania linaendela, chanzo ikisemekana ni kuchoka na hali ya ugumu wa maisha, ukosefu wa ajira, kulinda rasilimali za taifa ambazo siku za karibuni zimeonekana kuwa mnadani, matumizi mabaya ya fedha za umma na ziara za viongozi zisizokuwa na tija, pamoja na huduma muhimu kama bima za afya zikiondolewa.

Pia soma: Yanayojiri Maandamano ya Gen Z Kenya

Watapata wanachokitafuta tanzania hatujawahi kulea huu ujinga , watapigika kisawasawa over
 
Tunaomba utulivu nchini kwetu. Mama anafanya kazi vizuri sana. Mambo mengi kabisa, hata sisi watumishi wa serikali aneiganga mioyo yetu. Asante sana mama Samia 2025 mitano tena.
 
Mhn! Huku kwetu labda hiyo “Z” stands for big fat Zero.
 
Labda muandamane kwa ajili ya mashine za betting ziongezwe na mpira uwe kila saa wanacheza tu
Na matamasha ya mziki singeli yawe mengi zaidi
Kwenye ile clip ya kale kabinti
Kanacho bakwa pembeni kuna mziki wa sahv...
Unaimbwa huyooo mtotooooo
Analilia nini sijui apeweee 😄
Aise nchi inasikitisha,kulea mtoto bongo sahv mtihani

Ova
 
Back
Top Bottom