Gen Z wa Kenya waliyeyushwa kama Mvuke pamoja na kuwa na KATIBA MPYA!

Gen Z wa Kenya waliyeyushwa kama Mvuke pamoja na kuwa na KATIBA MPYA!

and 998 others

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
28,477
Reaction score
40,278
Afrika hata katiba waandike mitume na manabii. Ipo namna ya kuwa dikteta "Uchwara" hapo Kenya 2024 waliibuka vijana wanajiita Gen Z wakaandamana mpaka kuingia kuharibu vitu bungeni.

Mwamba Ruto aliwafagia kimya kimya kama hamnazo. Akaenda kuwatupa dampo la Kwa-njenga kama kuku hukoo. Hapo unazungumzia nchi yenye katiba inayoitwa "mpya"
 
Afrika hata katiba waandike mitume na manabii. Ipo namna ya kuwa dikteta "Uchwara" hapo Kenya waliibuka vijana wanajiita Gen Z wakaandamana mpaka kuingia bungeni kwa nguvu eti wanataka kumtoa Ruto. Mwamba aliwafagia kama hamnazo. Akaenda kuwatupa dampo la Kwa-njenga kama kuku hukoo. Hapo unazungumzia nchi yenye katiba inayoitwa "mpya"
ujana saa zingine ni kama moto wa mabua tu aise 🐒
 
Kupitia katiba mpya,Kenya inajivunia mahakama kuwa huru pengine kuliko nchi zote Africa kwa sasa!

Ruto ni rais siyo mfalme,Ruto hana uhakika wa kushinda muhula wa pili.

Kule Bosnia,chama kitakachoshinda uchaguzi miaka minne ijayo kinajulikana hata kipitishe ndondocha.
 
Hii mifumo ya demokrasia waliotuletea hawakutupa na manual yake jinsi ya kuitumia kwa manufaa yetu ila ipo kwa ajili ya manufaa yao. Unakuta mpinzani hana jipya zaidi ya kuhubiri chuki tu kwa anayetawala, pia anayetawala hana jipya la kuaminisha umma aendelee kupewa nafasi zaidi ya kutumia ubabe wa dola.

Afrika kuna namna hii demokrasia ya kuletewa inaturudisha nyuma. Kuna kitu hakipo sawa.
 
Afrika hata katiba waandike mitume na manabii. Ipo namna ya kuwa dikteta "Uchwara" hapo Kenya 2024 waliibuka vijana wanajiita Gen Z wakaandamana mpaka kuingia kuharibu vitu bungeni.

Mwamba Ruto aliwafagia kimya kimya kama hamnazo. Akaenda kuwatupa dampo la Kwa-njenga kama kuku hukoo. Hapo unazungumzia nchi yenye katiba inayoitwa "mpya"
Wewe fala kweli Kenya matakwa ya Genz yametimizwa sasa unataka waingie barabarani kufanya nini wewe malaya wa Abdul?
 
Katiba mpya,haki ukandamizaji,ndiyo vijineno vinavyotumiwa na Gen z,wanavyojazwa na wafiraji wao,katika kuleta vurugu kwenye mataifa yao!....
 
Afrika hata katiba waandike mitume na manabii. Ipo namna ya kuwa dikteta "Uchwara" hapo Kenya 2024 waliibuka vijana wanajiita Gen Z wakaandamana mpaka kuingia kuharibu vitu bungeni.

Mwamba Ruto aliwafagia kimya kimya kama hamnazo. Akaenda kuwatupa dampo la Kwa-njenga kama kuku hukoo. Hapo unazungumzia nchi yenye katiba inayoitwa "mpya"
Hao mitume na manabii uliowataja ni hawa kina tapeli mwamposa na kina mudi mkureishi?
 
Wewe fala kweli Kenya matakwa ya Genz yametimizwa sasa unataka waingie barabarani kufanya nini wewe malaya wa Abdul?
Matakwa yapi ya Gen z yalitimizwa? Serikalini unamuona Gen Z yeyote? Au Joho au Mbadi nao ni Gen Z?
 
Back
Top Bottom