and 998 others
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 28,477
- 40,278
ujana saa zingine ni kama moto wa mabua tu aise 🐒Afrika hata katiba waandike mitume na manabii. Ipo namna ya kuwa dikteta "Uchwara" hapo Kenya waliibuka vijana wanajiita Gen Z wakaandamana mpaka kuingia bungeni kwa nguvu eti wanataka kumtoa Ruto. Mwamba aliwafagia kama hamnazo. Akaenda kuwatupa dampo la Kwa-njenga kama kuku hukoo. Hapo unazungumzia nchi yenye katiba inayoitwa "mpya"
Nachoweza kuwaambia watanzaniaujana saa zingine ni kama moto wa mabua tu aise 🐒
Wewe fala kweli Kenya matakwa ya Genz yametimizwa sasa unataka waingie barabarani kufanya nini wewe malaya wa Abdul?Afrika hata katiba waandike mitume na manabii. Ipo namna ya kuwa dikteta "Uchwara" hapo Kenya 2024 waliibuka vijana wanajiita Gen Z wakaandamana mpaka kuingia kuharibu vitu bungeni.
Mwamba Ruto aliwafagia kimya kimya kama hamnazo. Akaenda kuwatupa dampo la Kwa-njenga kama kuku hukoo. Hapo unazungumzia nchi yenye katiba inayoitwa "mpya"
Baada ya hapo kusema maneno hayo Balozi huyu hakuonekana tena hadharani akapotea mazimaNachoweza kuwaambia watanzania
Piganieni katiba MPYA
EMMANUEL NCHIMBI
Ndio kusema kwamba ni Kijitabu tu ambacho hakina maana yoyote kwenye hio jamii au sio maana yake nini?Katiba ni shida ndogo sana kwenye jamii za waafrika weusi...
Hao mitume na manabii uliowataja ni hawa kina tapeli mwamposa na kina mudi mkureishi?Afrika hata katiba waandike mitume na manabii. Ipo namna ya kuwa dikteta "Uchwara" hapo Kenya 2024 waliibuka vijana wanajiita Gen Z wakaandamana mpaka kuingia kuharibu vitu bungeni.
Mwamba Ruto aliwafagia kimya kimya kama hamnazo. Akaenda kuwatupa dampo la Kwa-njenga kama kuku hukoo. Hapo unazungumzia nchi yenye katiba inayoitwa "mpya"
Ndio kusema kwamba ni Kijitabu tu ambacho hakina maana yoyote kwenye hio jamii au sio maana yake nini?
Matakwa yapi ya Gen z yalitimizwa? Serikalini unamuona Gen Z yeyote? Au Joho au Mbadi nao ni Gen Z?Wewe fala kweli Kenya matakwa ya Genz yametimizwa sasa unataka waingie barabarani kufanya nini wewe malaya wa Abdul?
Tulia wewe malaya wa kimboka hujui lolote kuhusu Gen Z wa Kenya umeshindwa kulinda mgongo wako unaleta habari za genz hapaMatakwa yapi ya Gen z yalitimizwa? Serikalini unamuona Gen Z yeyote? Au Joho au Mbadi nao ni Gen Z?
ok.🐒Nachoweza kuwaambia watanzania
Piganieni katiba MPYA
EMMANUEL NCHIMBI