Samiaagain2025
JF-Expert Member
- Dec 2, 2020
- 4,834
- 5,310
Walisikilizwa ndio maana wametulia.Afrika hata katiba waandike mitume na manabii. Ipo namna ya kuwa dikteta "Uchwara" hapo Kenya 2024 waliibuka vijana wanajiita Gen Z wakaandamana mpaka kuingia kuharibu vitu bungeni.
Mwamba Ruto aliwafagia kimya kimya kama hamnazo. Akaenda kuwatupa dampo la Kwa-njenga kama kuku hukoo. Hapo unazungumzia nchi yenye katiba inayoitwa "mpya"
Huyu haelewi kuwa muswada walioupinga Gen Z ilibidi ufutwe. Na Rais alivunja baraza lote la mawaziri. Pia ilibidi awaite wapinzani serikalini ikiwemo kuwaachia wizara adimu kama wizara ya uchumi, nishati, mafuta, na madini.Tatizo hujui hata hiyo conflict illiishaje. Ruto ali reverse sheria na kuna baadhi ya vitu hakufanya na ndio zilikuwa demand za gen z. So kusema waliyeyushwa, unayeyushaje 70% ya raia wa nchi nzima?
Tumia akili
Walikataa finance act ya 2024 na kweli rais aliitupilia mbali na ikarudi upya bungeni na kuondoa hilo rundo la kodi waliolipinga!! Au ulidhani walikua wanagombea kuingia serikalini?Matakwa yapi ya Gen z yalitimizwa? Serikalini unamuona Gen Z yeyote? Au Joho au Mbadi nao ni Gen Z?
Umefika Kenya siku za Karibuni (sio kusoma mitandaoni?) Ruto ameleta kodi zaidi ya zile ambazo Ge n Z walizikataaWalikataa finance act ya 2024 na kweli rais aliitupilia mbali na ikarudi upya bungeni na kuondoa hilo rundo la kodi waliolipinga!! Au ulidhani walikua wanagombea kuingia serikalini?
Baraza lilivunjwa kiini macho wakaingia wazee wa ODM (sio Gem Z) Leo hii hali ni mbaya zaidi ya mwanzo. Kodi zimeongezeka na vijana (Gen Z) walishauliwa tayariHuyu haelewi kuwa muswada walioupinga Gen Z ilibidi ufutwe. Na Rais alivunja baraza lote la mawaziri. Pia ilibidi awaite wapinzani serikalini ikiwemo kuwaachia wizara adimu kama wizara ya uchumi, nishati, mafuta, na madini.
Kwani hayo yote unayoyaeleza kwa ushupavu kutoka Kenya yanahalalisha kipi kifanyike Tanganyika?Baraza lilivunjwa kiini macho wakaingia wazee wa ODM. Leo hii hali ni mbaya zaidi ya mwanzo. Kodi zimeongezeka na vijana walishauliwa tayari
UNAKATWA NA BABA LEVOAfrika hata katiba waandike mitume na manabii. Ipo namna ya kuwa dikteta "Uchwara" hapo Kenya 2024 waliibuka vijana wanajiita Gen Z wakaandamana mpaka kuingia kuharibu vitu bungeni.
Mwamba Ruto aliwafagia kimya kimya kama hamnazo. Akaenda kuwatupa dampo la Kwa-njenga kama kuku hukoo. Hapo unazungumzia nchi yenye katiba inayoitwa "mpya"
Mkuu sikielewi kwa elimu ipi uliyonayo? Napata ugali kwa kuchanganua sera za kiuchumi zote 54 za Afrika. Wewe upo Ikwiriri unajua nn zaidi ya kusubiro msaada wa kuchimbiwa visima na waarabu wa Kuwait?Naona umeandika kitu hukielewi
naungana na hoja yako mkuu mi siamini kwenye hii mifumo ya kidemokrasia hasa nchi zetu za kiafrika. tunaitaji tawala za kidikteta ili tuvuke hapa tulipo.Hii mifumo ya demokrasia waliotuletea hawakutupa na manual yake jinsi ya kuitumia kwa manufaa yetu ila ipo kwa ajili ya manufaa yao. Unakuta mpinzani hana jipya zaidi ya kuhubiri chuki tu kwa anayetawala, pia anayetawala hana jipya la kuaminisha umma aendelee kupewa nafasi zaidi ya kutumia ubabe wa dola.
Afrika kuna namna hii demokrasia ya kuletewa inaturudisha nyuma. Kuna kitu hakipo sawa.
Kwani mada inaongelea mwaka huu? Tunaongelea 2024, muswada uliondolewa na kodi zikapunguzwa na ndio hoja ya Gen Z ilikua hiyo na walifanikiwa.Umefika Kenya siku za Karibuni (sio kusoma mitandaoni?) Ruto ameleta kodi zaidi ya zile ambazo Ge n Z walizikataa
Yes ila serikali ilikiri mauaji, iliomba msamaha, na fidia zimetolewa kwa majeruhi na familia za waliopoteza maisha.Kodi zimeongezeka na vijana (Gen Z) walishauliwa tayari
Kwani ni wapi Gen Z walisema wanataka madaraka? Wao waliandamana kupinga muswada na likafanikuwa hayo ya ODM ni matokeo tu ya maridhiano maana wananchi walikua hawana imani na serikali tena.Baraza lilivunjwa kiini macho wakaingia wazee wa ODM (sio Gem Z)
Kama ni muongo maana yake Gen Z wa Kenya bado wanakinukisha huko sio?Uongo unakusaidia nini? Kwani Ruto anapatikana bungeni?