Ipo.
Kwa mfano nchi ya Tanzania (Popn. 62mil.+ )hakuna Mwananchi yeyote anayeshindwa kupata
riziki yake ya kila siku kama akijishughulisha. Kumbuka na Kuzingatia kwamba hatupati mahitaji yetu(Riziki zetu)ss Watanzania kwa kupewa na Serikali; HAKUNA- Huo ndo ukweli halisi. Usidanganywe na kikundi cha wachache sana wanaosema eti wamesoma na wanataka waajiriwe na Serikali - wameshasahau kwamba hawakuwekeana Mkataba na Serikali kwamba akimaliza masomo Serikali itamwajiri. Wakiambiwa wajiajiri Sekta binafsi wanatishia kuandamana eti wao ni Gen. Z. Kwa maneno mengine ni kwamba
Ajira ya Gen.Z waliojipa wao wenyewe ni kulalamika, kuitishia Serikali kwamba wataandamana na kuwaghilibu (kushawishi/kudanganya) vijana wenzao ambao wanajishughulisha ili wawaunge mkono kwenye ujinga huo.
Wanadhani ajira zipo tuu ila Serikali kwa kiburi na ukatili inawanyima.
Wakitangaziwa
Ajira za siri huko Urussi, Israeli, Ukraine, Palestina, Wagner PMC, N. Korea wanazuga eti hawajaziona. Ni watata kwel-kweli hawa jamaa wanaojnasibisha kuwa Gen. Z. Sifa za Gen.Z zipo ila sio za hawa waBongo.
Dah! Wanashindwa basi hata kujiajiri kwenye ile
Sekta inayopigwa vita na Mh. RC na hivi karibuni wanategemea kulamba 36 mil. chap.