Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magazeti bila kurasa za mbele kuchombeza simba na yanga hayauzi.Bongo ni simba na yanga tu
USSR
SureHakika wote warudishwe nyumbani in GEN-Z voice
Asikilize vipi wakati alikwisha sema yeye ni 'chura kiziwi', hivi nyinyi watu wengine akili zenu huwa mnazipeleka wapi?Nasikia vijana tayari kuna group huko whatsap limeanzishwa linaitwa lost generation limeanza kuratibu kila kitu na kuweka wazi kero na kashifa zinazohusu setikali ya mama kama ni kweli mama asikilize watu anaowaongoza zaidi ya hapo anaweza kupata shida
Waganda ni mapoyoyo ngoja tuoneHao sina imani nao hawana tofauti na Tanzania , hadi hiyo siku ifike wakianza movement ndio nitawaamini
Kenyans remain undefeated.
Ni zaidi ya mapoyoyo.Waganda ni mapoyoyo ngoja tuone
GenZ wa Rwanda ghafla itakuwa GenZ wa Kihutu wanazunguka na Mapanga kuwasaka GenZ wa Kitutsi.Rwanda jana wamefanya igizo lao kwa jina la uchaguzi wakati mshindi anajulikana.
Rwanda naambiwa mtaani watu wanaogopa kumkosoa huyo dikteta hata mtaani ukisikika tu unapotezwa.GenZ wa Rwanda ghafla itakuwa GenZ wa Kihutu wanazunguka na Mapanga kuwasaka GenZ wa Kitutsi.
Itachukua muda mrefu kuondoa hayo mambo na Kagame so far ameanza kufanikiwa.
GenZ wa Rwanda ghafla itakuwa GenZ wa Kihutu wanazunguka na Mapanga kuwasaka GenZ wa Kitutsi.
Itachukua muda mrefu kuondoa hayo mambo na Kagame so far ameanza kufanikiwa. Mwezi uliopita nilikuwa Kigali wahutu na watusi hawapendani kabisa wanachukiana kimyakimya wanaita inzigo
Wakati sisi CHADEMA tunaandamana maandamano ya AMANI wengi wa Wafanyabiashara walikuwa wanatubeza sasa wanakomeshwa wanaanza kulialia.Inaonekana hata umri wa kati nao wanamawazo kama ya GEN-Z, hii ina maanisha kwamba muda wowote walioko madarakani na katika kundi la wanasiasa (political class) watafurushwa na umma mkubwa kupitia nguvu ya umma people's power