Gen Z wachache sana wataweza kuelewa nini kilikuwa kinaendelea hapa

Gen Z wachache sana wataweza kuelewa nini kilikuwa kinaendelea hapa

Kabla ya mitandao nikajua watu wazima wana akili ila nowdays nimejua Watanzania wengi ni mabumunda sema ni vile tu tulikua hatujapata access ya kuonesha ujinga na umbugila wetu live!
 
Mzee alilikamata taifa na kikombe chake, ilikuwa habari kubwa kwenye vyombo vya habari na mtaani.
 
Back
Top Bottom