Unaendeleaje lakini? Sijakuona kitamboInawezekana kabisa
😁😁 lakini inasemekana watu walipona500 ...aliwajaza wajinga wengi sana ......
Upouzi na ujinga upo ila politics na proganda ndio umekuja kuusambaza ujinga huo na ukakita miziziPolitics & Propaganda
Hivi walipona kweli?😁😁 lakini inasemekana watu walipona
Sijui alikuwa anaweka nini
InasemekanaHivi walipona kweli?
Kuna manzi tukisoma primary akienda kwa babu alikuwa na issue za hearing... Karudi anaatuambia sasa a naskia kwa mbali.. Kumbe alikuwa delusional tu.Inasemekana
HamdellahUnaendeleaje lakini? Sijakuona kitambo
Watu walitumia imani kuponaKuna manzi tukisoma primary akienda kwa babu alikuwa na issue za hearing... Karudi anaatuambia sasa a naskia kwa mbali.. Kumbe alikuwa delusional tu.
Mm kipindi hicho niliamini kweli ngoma inaponeka, kumbe mzee mshenzi tu yule. Without the internet ITV daily ilikuwa kwenye news
Ndo maana mm huwa naamini katika kujiona kwa imani..Watu walitumia imani kupona
Japo case ya HIV sijui waliwezaje kufosi uponyaji 😂
Ahahahahaha vishu nimenunua gari mwenzakoNi jero sio 200, nawe ni Gen Z kama Poor Brain
Wakuu,
Hii picha ilipigwa Tanzania miaka kama 13 nyuma
Gen Z hawawezi kuelewa hapa
View attachment 3642969
Maskani, kikombe cha Babu Loliondo-Ngorongoro Arusha Tanzania.Wakuu,
Hii picha ilipigwa Tanzania miaka kama 13 nyuma
Gen Z hawawezi kuelewa hapa
View attachment 3642969
Babu wa loliondo 😩Wakuu,
Hii picha ilipigwa Tanzania miaka kama 13 nyuma
Gen Z hawawezi kuelewa hapa
View attachment 3642969
Hongera kaka, mashangazi wa wapi huo umekublessAhahahahaha vishu nimenunua gari mwenzako