Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 5,476
- 11,393
Apumzike kwa amani
Alijua kuzikusanya 500 sijui 200 za watu
MatusiWakuu,
Hii picha ilipigwa Tanzania miaka kama 13 nyuma
Gen Z hawawezi kuelewa hapa
View attachment 3642969
Kilinywewa Sana Hicho KikombeLoliondo kikombe cha babu.
Wakuu,
Hii picha ilipigwa Tanzania miaka kama 13 nyuma
Gen Z hawawezi kuelewa hapa
View attachment 3642969
Wakaungana ujinga na miafrika yenzao ya nchi jirani Kenya na kwingineko kwenda kuuwa figo kwa babu wa Loliondo.Nchi ina wapuuzi wengi hayo ni moja ya Ujinga ya Watanzania walioufanya..
Picha inafanana ya enzi ya kikombe cha babu japo siyo halisiWakuu,
Hii picha ilipigwa Tanzania miaka kama 13 nyuma
Gen Z hawawezi kuelewa hapa
View attachment 3642969
Samunge moja hiyo, kikombe kimoja hichoWakuu,
Hii picha ilipigwa Tanzania miaka kama 13 nyuma
Gen Z hawawezi kuelewa hapa
View attachment 3642969
Ina wagonjwa wengi sana. Ushahidi hiyo kwa kikombe cha babuu,Ila hii nchiπππ
Faivu handredi...tufungue sipitaliApumzike kwa amani
Alijua kuzikusanya 500 sijui 200 za watu
Faivu handredi...tufungue sipitali
Inawezekana kabisaTufungue hospitali yetu before mwaka kuisha π
Ni jero sio 200, nawe ni Gen Z kama Poor BrainApumzike kwa amani
Alijua kuzikusanya 500 sijui 200 za watu