Gen Z wachache sana wataweza kuelewa nini kilikuwa kinaendelea hapa

Ikitengenezwa list ya matepeli mahiri kuwahi kutokea Tanzania yule babu wa loliondo lazima aingie top 5
 
Politics & Propaganda
Upouzi na ujinga upo ila politics na proganda ndio umekuja kuusambaza ujinga huo na ukakita mizizi

Late gen z na vijana wa 2000 hawataki hii kitu ila wanaonekana wahaini
 
Yule mzee alikuwa na nyota yabushawishi na hata kuongea alikuwa sio mwongeaji... Ni yeye na kugawa dozii tuu.
 
Inasemekana
Kuna manzi tukisoma primary akienda kwa babu alikuwa na issue za hearing... Karudi anaatuambia sasa a naskia kwa mbali.. Kumbe alikuwa delusional tu.

Mm kipindi hicho niliamini kweli ngoma inaponeka, kumbe mzee mshenzi tu yule. Without the internet ITV daily ilikuwa kwenye news
 
Watu walitumia imani kupona
Japo case ya HIV sijui waliwezaje kufosi uponyaji πŸ˜‚
 
Watu walitumia imani kupona
Japo case ya HIV sijui waliwezaje kufosi uponyaji πŸ˜‚
Ndo maana mm huwa naamini katika kujiona kwa imani..
HIV si unaona hata siku hizi haiuwi kama zamani, ni ile hofu imetoweka, japo ukiipata ni ka mzozo
 
Loliondo, Mama mkwe wangu alipona KABISA! KISUKARI!... Ila mama yangu waliyeenda nae HAKUPONA UGONJWA WAKE!

IMANI INAPONYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…