Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,718
KabisaWenye silaha wazitoe tu, haiwezekani wamwage damu za watoto wetu kisha tuwachekee.
Mbeya naona Leo watu wapo barabaraniYawe ya amani kula mtu atoke watu wengi wanataka kutoka saivi
Kaclip kidogoMbeya naona Leo watu wapo barabarani
Weka basi makalio yako tuyachome.Sa hayo maandamano au vita?
Wazungu wametuzidi sana wakuu! Yaani kule magharibi maandamano watu hawachomi nyumba Wala mali za uma!
Nchi gani ilifanikiwa kwa mtindo huu?Polisi nao wakiuliwa wataingiwa na akili, wataogopa na wanaweza wakaweka mgomo wao kwa wao kwenda kazini.
Hii itakufanya hadi JW pia ikitumwa ijitafakari, ikae upande wa wananchi.
Heri tupasuane ila mwisho tuje tujenge taifa linaloeleweka kuliko hapa tulipofika pa kipumbavu.
Ila polisi kuua watu ni sawa sio hivi unaakili timamu kweliSa hayo maandamano au vita?
Wazungu wametuzidi sana wakuu! Yaani kule magharibi maandamano watu hawachomi nyumba Wala mali za uma!
Hakuna cha amani...na hata ikiwa amani Huwa polisi huanza uchokoziiii..Yawe ya amani kula mtu atoke watu wengi wanataka kutoka saivi
Haya bwana usiache kutoka . Siku hiyo mwende na wenzako wengi ili tuimbe ule wimbo wetu.Weka basi makalio yako tuyachome.
Tutapambana hadi hakuna Jeshi la polisi, Nchi haina uchumi wa kuwalipa viongozi, mpaka huu Nchi iwe ovyo zaidi ya kongoTafuteni mazungumzo hizo mbinu za violence mtazika jenzii wa kutosha.