Three options:
1) Mtoke wengi this time na kweli mfanikiwe kuangusha huu utawala, kukiwa kumeshatokea maafa makubwa.
2) Mtoke wachache kama Oktoba 29 na msifanikiwe, kisha yatokee maafa mengine, pengine makubwa kuliko Oktoba 29.
3) Tukae tutulie, kisasi tumuachie MUNGU, amesema kisasi ni chake. Tuendelee kutuma video ICC na ku post mitandaoni. Infact Ufalme wa Mungu umekaribia.
Hapa Maafa kwa wananchi bado yako guaranteed maana ni roho waovu wameshika mamlaka, unless watu wa MUNGU wote wafunge midomo na kuunga mkono maovu, which is impossible, so watu wa Mungu wataadhirika tu. Na hata wakiamua kukaa kimya hawa watoto wa Ibilisi hawatokosa jipya: utashangaa yanazushwa mengine mf. Visasi vya yaliyopita, Sharia law n.k
Personally nimechagua 3.
Coz kwanza nimeishiwa pawa.
Pili mimi kutoka tena means naenda kuua, no way out, nakua natoka najua leo naenda kuua pepo, and I'm not going to do that.
Tatu Bado tutaadhirika whatever choice I / people make so nimechagua the energy saving choice.
Nne Ni mamlaka imeshasimama, mlikuwa wapi Oktoba 29 kabla haijasimamishwa? Christians know the rest of the story.....
Tano kuna unabii wa siku za mwisho and it makes sense that this demon is in power. So sioni point kujichosha kupigania kitu ambacho najua mwisho wake. Nafanya kama naserereka na mto hivi. So nimeamua kutulia ku zoom tu.
Sita hili pepo lazima liangushwe, it's a matter of time. Itakayekuwa moyoni mwake "kumshugulikia" ndiye aliyechaguliwa. It's not me. So nimekaa namngojea Bwana.