Makuku Rey
JF-Expert Member
- Dec 31, 2013
- 3,772
- 4,544
Hotuba ya kwanza baada ya kuapishwa samia mwenyewe alizungumza yupo tayari kwa mazungumzo, so jenzii kazi kwenu.
Matendo yake hayaoneshi kuwa yuko tayari kwa maridhiano!
Huwezi ukahitaji maridhiano halafu unaendelea kuwashikilia viongozi wa upinzani kwa kesi za pakazia!
Tunataka watu wawajibike kwa vifo vya Watanganyika,waliouwawa kama kuku tarehe 28,29,na 30!
Bila kuwajibika,nchi haitawaliki
HAKI HUINUA TAIFA.