Gen z wanasema tarehe 9 December wanakuja na silaha za moto

Gen z wanasema tarehe 9 December wanakuja na silaha za moto

Mbinu rafiki unazikumbuka sasa hivi, endeleeni kuwashawishi waandamane. Nyie si mko nje huko mnawapeleka wenzenu kama maboya.
Mimi nipo Bongo humuhuku na kwenye maandamano ya tarehe 29 nilikinukisha kama kawa mchana sana ndiyo nikala chuma hewani ,na tarehe 09 hiyo ndiyo sintakosa Bro , aisee Taifa ni letu ,nitaona haibu sana mbele ya wanaume wenzangu kwa kukwepa kuungana nao siku muhimu kama hiyo.

Hiyo siku nikiume zaidi ,kama huamini tuombe tu Mungu atujaalie uhai .

Hatuwezi kuwa mafala mara mbili dude ,take it
 
Nikiuliza hizo silaha watazitoa wapi hao waandamanaji kwa jinsi ninavyojua wabongo hakuna mwenye ukubwa wa akili hio , nitajikuta nashambuliwa na matusi...
 
Nikiuliza hizo silaha watazitoa wapi hao waandamanaji kwa jinsi ninavyojua wabongo hakuna mwenye ukubwa wa akili hio , nitajikuta nashambiliwa na matusi...
Mkuu inaonekana Bongo ya sasa unaichukulia kwa sura ya kijijini kwenu eti?

Tusipumbazane mkuu , Tanzania imepiga hatua sana .

Ndiyo maana nasema tupunguze kudharauliana mkuu wangu

Watu wako more advance karibu kwenye kila kitu .
 
Advance kwenye nini zaidi ya ujinga wa kumeza taarifa za mtandaoni bila kuhakiki kilicholetwa mbele yao
Aisee wewe ni mkongwe humu halafu unaongea kirejareja kama uko kijiwe cha kahawa, unaiangusha hio ID ya 19kweusi ndani ya JF...

Hakuna hio akili ya watu watakajitolea kukuletea silaha za moto hasa kwenye jambo halina manufaa nao.
Ukitaka kujua ni jinsi gani ilivyo kuwa vigumu mtu kuleta silaha nchini, fuatilia kuna mada humu ya Steve Mollel sehemu ya 1 mpaka ya 3, ndio ujue wale vichaa walipata wapi hizo silaha mpaka kuja kuwa Al Shabab wa Cabo delgado, na tena waliaanzia hapo Kibiti....

Ndio utajua vituo vingapi vya polisi vilivamiwa na silaha kiasi gani zilichukuliwa...
Kwahiyo nasema hakuna huo ujasiri wa kuwa na silaha za moto...
Na kwanza ndio mtageuzwa kama hao wa Kibiti mpaka wakakimbilia Msumbiji na kukuta kuna uhuru wa kujiendesha...

1762561407992.png

Mimi nipo Bongo humuhuku na kwenye maandamano ya tarehe 29 nilikinukisha kama kawa mchana sana ndiyo nikala chuma hewani ,na tarehe 09 hiyo ndiyo sintakosa Bro , aisee Taifa ni letu ,nitaona haibu sana mbele ya wanaume wenzangu kwa kukwepa kuungana nao siku muhimu kama hiyo.

Hiyo siku nikiume zaidi ,kama huamini tuombe tu Mungu atujaalie uhai .

Hatuwezi kuwa mafala mara mbili dude ,take it
Kila la kheri, uage kwa ndugu zako kabisa.
 
Kila la kheri, uage kwa ndugu zako kabisa.

Na nitakaokutana nao wawe wameaga pia mamamamaaaeee

Mkuu unaweza ukawa hujui vile mioyo ya watu ilivyokufa ganzi .

Nikupe tu siri, watu vile wanafeel mioyoni mwao ni zaidi ya kifo ,ile hofu na heshima waliyowahi kuwa nayo kwa police kwa sasa nikama iko zero .
 
Sasa unaokutananao, nao washakufa ganzi, kumzimisha mtu siyo issue kwao kwasababu ndiyo Profession yao, kwahiyo wanakupokea kadri unavyokuja.
 
Tarehe 9 December ni siku ya maandamano Gen Z wa Tanzania wanasema wanakuja na silaha za moto

Police mjipange kukabiliana na moto maana hujui yupi atakua na silaha za moto mtasikia tu zimetua kichwani

Msijitoe akili kuanza kupiga risasi watu kitawaramba

Huu ni ushauri tu
Watu wanazikwa, wengine wanajiuguza hata pesa ya dawa hakuna na wengine wako jela na wengine hawajajulikana walipo.

Kwanini isingefanyika tathmini na na kupanga mikakati upya.

Hizi haraka za ghafla ndani ya pori lile lile, ni mauaji zaidi.

Vita hazipiganwi hivi
 
Advance kwenye nini zaidi ya ujinga wa kumeza taarifa za mtandaoni bila kuhakiki kilicholetwa mbele yao
Aisee wewe ni mkongwe humu halafu unaongea kirejareja kama uko kijiwe cha kahawa, unaiangusha hio ID ya 19kweusi ndani ya JF...

Hakuna hio akili ya watu watakajitolea kukuletea silaha za moto hasa kwenye jambo halina manufaa nao.
Ukitaka kujua ni jinsi gani ilivyo kuwa vigumu mtu kuleta silaha nchini, fuatilia kuna mada humu ya Steve Mollel sehemu ya 1 mpaka ya 3, ndio ujue wale vichaa walipata wapi hizo silaha mpaka kuja kuwa Al Shabab wa Cabo delgado, na tena waliaanzia hapo Kibiti....

Ndio utajua vituo vingapi vya polisi vilivamiwa na silaha kiasi gani zilichukuliwa...
Kwahiyo nasema hakuna huo ujasiri wa kuwa na silaha za moto...
Na kwanza ndio mtageuzwa kama hao wa Kibiti mpaka wakakimbilia Msumbiji na kukuta kuna uhuru wa kujiendesha...

View attachment 3498845

Mkuu umenipiga kichwani sana joh.

kiupekee nikushukuru kwa kuniongezea weredi kwenye hii taarifa ,nakubaliana sana na hoja yako japo siyo mara zote mbinu zinaweza kufanana , simply to say case ya Kibiti na hii ya sasa inautofauti mkubwa sana.

Mkuu hili la sasa limegusa karibu 90% ya makundi muhimu ,kunafanily za askari humo zimeguswa ,kunafamily za wanasiasa humo zimeguswa , kunafamily za viongozi wa madhehebu mbali mbali humo zimeguswa , kunafamily za wakulima hadi waganga za kienyeji wameguswa , kitu inayogusa jamii pana namna hiyo huwaga na urahisi mkubwa sana wa ukamilishaji mishen yake tofauti na matukio yanayogusa kada moja au mbili , najua wewe ni mwerevu ,sina shaka unaweza kunielewa naongea nini.

Kuhusu changamoto ya kumeza bila kutafuna(kitendo cha kupokea taarifa pasipo kuzichakata) hilo nitatizo letu la asili hasa African (mwisho japo siyo kwa umuhimu)

kwa upande wa ID hii ni ya urithi Bro🤣🤣
 
Kitendo cha kutumia silaha za moto kitawavua hao wajinga credibility ya Utanzania na waandamani fujo na kupewa cheo cha ugaidi. At that point, Jeshi la Wananchi wa Tanzania litaingia kazini na hapo ndio mtajua kazi yake ni kuua, maana ya Vita na kwanini wanalinda mipaka.
Jeshi Gani litaloweza kupambana na raia wenye silaha za moto waliojitoa muhanga likashinda wadanganye wafe kama Rwanda vita ya wahutu na watutsi
 
kwamba unataka kupimana ubavu na serikali, hatutaki baadae tuanze kuskia sjui tunataka tuzike wenyewe maaana tushawaonya
Umuonye nani kilio kitakua kwenu nyie polisi uchwara watu wanawajia na za moto safari hii nchi nzima kazi mnayo🤣🤣🤣🤣
 
Tarehe 9 December ni siku ya maandamano Gen Z wa Tanzania wanasema wanakuja na silaha za moto

Police mjipange kukabiliana na moto maana hujui yupi atakua na silaha za moto mtasikia tu zimetua kichwani

Msijitoe akili kuanza kupiga risasi watu kitawaramba

Huu ni ushauri tu
Wadogo zangu msifanye hivi. Andamaneni kwa amani. Mkibeba silaha mtahalalisha hawa wauaji kuua tena.
 
Polisi na jeshi la tanzania ni waoga. Warisasi gen z ni wengi wakiwa na risasi hutaona polisi barabarani hao polisi wanaonaga Raha tu kupiga risasi raia ila kikiwageukia watakaimbia kama hawana akili timamu gen z washajitoa muhanga je polisi yupo tayari kufa
Acheni mihemko mtaondoa maana nzima ya maandamano na mtahalalisha mauaji yenu.
 
Tarehe 9 December ni siku ya maandamano Gen Z wa Tanzania wanasema wanakuja na silaha za moto

Police mjipange kukabiliana na moto maana hujui yupi atakua na silaha za moto mtasikia tu zimetua kichwani

Msijitoe akili kuanza kupiga risasi watu kitawaramba

Huu ni ushauri tu
Abdul kaagiza mabomu nimepata tetesi
 
Umuonye nani kilio kitakua kwenu nyie polisi uchwara watu wanawajia na za moto safari hii nchi nzima kazi mnayo🤣🤣🤣🤣
😂😂 karibuni uwanjan tushawashauri vya kutosha mda wa vitendo sasa
 
Hakuna cha amani...na hata ikiwa amani Huwa polisi huanza uchokoziiii..

Kikubwa ziwepo silaha za kujilinda kama vile M23, MAIMAI, UNITA, LORD RESISTANCE ARMY (LRA) nanukuu maneno ya CHANCELLOR OTTO VON BISMARCK
"" THE GREAT QUESTION OF THE DAY CANNOT BE SOLVED BY SPEECHES AND MAJORITY RESOLUTION BUT BY IRON & BLOOD""

Kupitia hii statement German unification ilifanikiwa kupitia IRON & BLOOD.

KWA HIYO KANA VIJANA WA GEN Z AMBAO WANA KESHO NYINGI KULIKO SISI WENYE ABOVE 35'S KWAIO LAZIMA WAWE NA SILAHA ZA MOTO KWA AJILI YA KUJILINDA
Keyboard warriors huwa ni majasiri sana hapa JF ila nje ya hapa mnajificha ndani. Hiki mnachoshauriana ni upumbavu mtupu utakaowaponza watakaothubutu kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom