Kama mnataka akae muda mrefu madarakani kama al asadi wa syria huku vita vya wenyewe kwa wenyewe vikitawala jifanyeni kutoka hata na mapanga na mishale bunduki najua kuzipata hamuwezi.
Duniani serikali zinazoondolewa na Raia ni wanaofanya maansamano makubwa ya bila kikomo ya amani sio kuibia Raia wenzenu nakuchomq mali zao maana hii imepita ijayo hao wenye mali watajirinda na kumbuka walio wa miliki wa hizo mali wengi wana silaha za moto wakati wanaandamanaji wengi ni walala hoi (rejea picha za waliofanya vurugu nakuuliwa) tena wengi chini ya miaka 18
And once biten twice shy msidhani polisi wanazichukulia poa tena taarifa hizi mlikufa hadharani ijayo mtakufa gizani no goverment goes down without excessive
reciprocal