Gen z wanasema tarehe 9 December wanakuja na silaha za moto

Gen z wanasema tarehe 9 December wanakuja na silaha za moto

Hii ni hatari kubwa. Silaha za Moto zinaenda kuuzwa kinyemela mitaani kama nyanya magengeni.

Hatupendi iwe hivyo lakini Hali inalazimisha iwe hivyo maana wenye mamlaka hawana huruma linapokuja suala la kumwaga damu zisizokuwa na hatia huwa hawajali kabisa.

Wacha wote tumiliki chuma labda tutaheshimiana. Tutarajie vituo vya polisi kuvunjwa na silaha kuporwa Kwa wingi, polisi kuuwawa na silaha kuingizwa kinyemela nchini.


Pia msisahau hii itakuwa fursa Kwa wafadhili wa magenge ya kihalifu kujikita nchini kufanya biashara ya kuuza silaha haramu.


Tukumbuke hii hatua hairekebishiki tena, Kwa ukanda wetu huu wenzetu watakuwa Congo, Somalia and the Likes...

GOD Forbid;
 
Tafuteni mazungumzo hizo mbinu za violence mtazika jenzii wa kutosha.
Polisi na jeshi la tanzania ni waoga. Warisasi gen z ni wengi wakiwa na risasi hutaona polisi barabarani hao polisi wanaonaga Raha tu kupiga risasi raia ila kikiwageukia watakaimbia kama hawana akili timamu gen z washajitoa muhanga je polisi yupo tayari kufa
 
Tarehe 9 December ni siku ya maandamano gen z wa tanzania wanasema wanakuja na silaha za moto

Police mjipange kukabiliana na moto maana hujui yupi atakua na silaha za moto

Msijitoe akili kuanza kupiga risasi watu kitawaramba

Huu ni ushauri tu
kuna kisa natamani kukisimulia hapa lakini naona acha nisubiri kidogo, lakini kumbukeni kujiunga alshabab ni rahisi sana, pale recruitment office Eastleigh-Nairobi kuna mengi yanaendelea, utani utani mtu kaliwa shaba
 
kuna kisa natamani kukisimulia hapa lakini naona acha nisubiri kidogo, lakini kumbukeni kujiunga alshabab ni rahisi sana, pale recruitment office Eastleigh-Nairobi kuna mengi yanaendelea, utani utani mtu kaliwa shapa
Elezea mkuu
 
Three options:

1) Mtoke wengi this time na kweli mfanikiwe kuangusha huu utawala, kukiwa kumeshatokea maafa makubwa.

2) Mtoke wachache kama Oktoba 29 na msifanikiwe, kisha yatokee maafa mengine, pengine makubwa kuliko Oktoba 29.

3) Tukae tutulie, kisasi tumuachie MUNGU, amesema kisasi ni chake. Tuendelee kutuma video ICC na ku post mitandaoni. Infact Ufalme wa Mungu umekaribia.

Hapa Maafa kwa wananchi bado yako guaranteed maana ni roho waovu wameshika mamlaka, unless watu wa MUNGU wote wafunge midomo na kuunga mkono maovu, which is impossible, so watu wa Mungu na wananchi kwa ujumla wataadhirika tu. Na hata wakiamua kukaa kimya hawa watoto wa Ibilisi hawatokosa jipya: utashangaa yanazushwa mengine mf. Visasi vya yaliyopita, Sharia law n.k

Personally nimechagua 3.

Coz kwanza nimeishiwa pawa.

Pili mimi kutoka tena means naenda kuua, no way out, nakua natoka najua leo naenda kuua pepo, and I'm not going to do that.

Tatu Bado tutaadhirika whatever choice I / people make so nimechagua the energy saving choice.

Nne Ni mamlaka imeshasimama, mlikuwa wapi Oktoba 29 kabla haijasimamishwa? Christians know the rest of the story.....

Tano kuna unabii wa siku za mwisho and it makes sense that this demon is in power. So sioni point kujichosha kupigania kitu ambacho najua mwisho wake. Nafanya kama naserereka na mto hivi. So nimeamua kutulia ku zoom tu.

 Sita hili pepo lazima liangushwe, it's a matter of time. Itakayekuwa moyoni mwake "kumshugulikia" ndiye aliyechaguliwa. It's not me. So nimekaa namngojea Bwana.
 
Back
Top Bottom