Gen z wapanga kuharibu nchi yao wenyewe

Gen z wapanga kuharibu nchi yao wenyewe

Naona Gen Z wakikinukisha tena baada ya wenzao kuuawa na kufungiwa kwenye viroba kisha kutupwa kwenye dampo la takataka kule Mukuru kwa Njenga-Nairobi. Hali inaweza kuja kuwa mbaya sana
Kabisa.wamewaua vibaya sana aisee.
 
Ukiwasikiliza vizuri utaelewa Wanachofanya Wanakijua

Hii Dunia imeshabadilika 🐼
wameshapoteza ramani, kila moja wao sasa ivi anadai ndio kiongozi wa gen z taratibu wanaanza kubishana na kugawanyika na misingi ya kikabila haichelewi kuibuka tena, ndio maana kuna Ruto Must Go na Ruto Must Not go 🐒
 
Hebu usiingize Tanzania kwenye hilo kundi la wavuta bangi wa Kenya.
mimi nimehoji tu uelekeo wa vuguvugo hili Africa Mashariki...

binafsi kwa Tanzania,
kulingana na mila, desturi na utamaduni wetu wa kistaarabu, kuheshimiana na kuskilizana hatuwezi hata kidogo kufikia hatu ya gen z wa Kenya 🐒
 
vuguvugu la mabadiliko linalochochewa na vijana hususan Africa Mashariki, yaani katika nchi za Kenya, Tanazania, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia, Sudani Kusini, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, limechukua sura mpya hivi sasa....

mathalani,
kuibuka kwa gen z wa Kenya kulichochewa zaidi na hali ngumu ya maisha, ikiambatana na ukosefu wa ajira, rushwa iliyokithiri, kodi, tozo na ushuru ambao uliongezwa maradufu na kuboreshwa zaidi kwenye musuada wa fedha kwa mwaka 2024/2025 kitu ambacho kiliwaunganisha vijana wa kenya bila kujali ukabila wao na kuupinga kwa maandamano ya amani, kushinikiza muswada huo tata kurekibishwa...

na hata baada ya sauti, maoni, mahitaji na matakwa yao kuskizwa,
na hatimae Rais wa Jamuhiri ya Kenya kulazimika kuufutilia mbali musuada huo muhimu wa kikatiba, na majuzi kuwafuta kazi mawaziri wake wote na kumfuta kazi mkuu wa jeshi la polisi Kenya. hivi sasa Dr. William Ruto yuko mbioni kuunda baraza ka mawaziri, huenda likawa na sura ya umoja wa kitaifa likijumuisha wapinzani na vijana....

bado gen z wanapanga kuendelea kuandamana, huku wakiibua madai mengine mapya kabisa, kama vile kumtaka na kumshinikiza Rais William Ruto, waliemchagua wenyewe kihalali kikatiba katika uchagizi mkuu wa kidemokrasia uliyofanyika Aug.2022, na kuthibitishwa na mahakama huru ya Kenya, eti aachie ngazi, dah....

kwa muda sasa muungwana,
Dr.William Ruto amekua akitoa wito kwa gen z na makundi mengine ya kisiasa, kiraia na kidini kuja pamoja katika meza ya mazungumzo, kujadili na kuamua pamoja namna bora ya kukidhi na kuboresha hali za maisha, ajira na mambo yanayolalamikiwa....

lakini wamekaidi na kudinda wito huo muhimu sana kwa umoja, utangamano, maendeleo na amani ya waKenya wote...

PLO Lumumba,
mara kwa mara amewaasa na kuwakanya wakenya katika ujumla wao kutafuta suluhu za kistaarabu na amani, katika makosa, dosari na kasoro zinazoonekana na zisizo onekana ndani na nje ya serikali yao, zinazowaathiri waKenya wote kwa ujumla wao nakutafuta suluhu ya amani...
vinginevyo hayupo atakae kua salama likitokea la kutokea,

watakao athirika, watakao umia, watakao poteza maisha, na kuirudisha kenya nyuma ni wenyewe. Ni vizuri kujizuia na ghadhabu katika kutafuta majawabu ya changamoto zinazotukabili...

Ndugu wanafamilia wenzangu wa JF,
kutoka maandamano ya amani, hadi maandamano ya uharibifu, uporaji, ghasia na mauaji, Je, kuna nguvu, ushawishi, uchochezi au ufadhili wa kisiasa nyuma yake kutoka ndani au nje ya nchi?

unadhani Dr.William Ruto atakubali kuondoka madarakani kwa maandamano tu au atajitea? unadhani nini kitatokea?
wakalenjini wanadai kusimama, kumlinda na kumchunga mtoto wao dhidi ya watakao mletea fujo, hii ina ashiria nini?

baada ya kenya ,
ni wapi vuguvugu hili la gen z linaelekea miongoni mwa nchi za Africa Mashariki :pulpTRAVOLTA:
KATI YA GEREJI NA KALAKANA ZIPI TOFAUTI KATI YA KATAVI NA OSTABEY
GSY2ZwAWwAAXivk.jpg
 
Hata wewe utakuwa unafahamu unazuga tu🤣
 
Hata wewe utakuwa unafahamu unazuga tu🤣
nizuge nini na kivip sasa gentleman??🐒

chimbuko la maandamano si ni kodi tozo na ushuru kwenye finance bill? haijashughulikiwa?

ni nini ilikua nyuma yake? siasa, chuki au ukabila?

au ni hamu tu ya kuuana na kuharibu nchi kuwe na hali mbaya zaidi, halafu tena nyinyi wenyewe msulubike kuijenga tena, kwa muda mrefu zaidi?

Tatizo la Afya ya akili ni kubwa mno hususani Africa Mashariki,

na miongoni mwa dalili za Mtu mwenye tatizo la Afya ya akili ni pamoja na kuwaza na kuamua kufanya au kutenda mambo ambayo yana muathiri yeye mwenye 🤭

nani anakwenda kuathirika kwenye maandamano ya ghasia?🐒
 
Kwani Tanzania nani ana vuguvugu ?
binafsi sioni,
vijana wastaarabu, wana siasa wangwana sana tu, taasisi za dini na kiraia wanafanya kazi zao vizuri kwa kuheshimu serikali, wafuasi na waamini wao 🐒
 
Hao wakalenjin wanapiga mkwara tu,Nchi nzima wakisema wasimame wamtoe huyo mtoto wao,atatoka na wataondoka naye.
Ruto kinachomponza ni ahadi zake alizotoa kwa Wananchi na alichokifanya mpaka kutokea machafuko,ni kama aliwafanyia utapeli.
Ruto bila ya ahadi za asali alizotoa kamwe asingeweza kumshinda Raila.
Ukweli wa mambo alikuwa anaujua,maana alikuwa jikoni lakini bado akawahadaa Wananchi.
Kiwango Cha Uhuru wa fikra ni kikubwa sana kwa Raia wa Kenya,watu kama hawa kuwamobilize ni jambo dogo tu kama kuwasha njiti ya kiberiti.
Ukiwasikiliza vizuri Gen Z,Kama Movement yao itafanikiwa basi watakuwa wameunda Blue Print mpya ya Demokrasia Duniani.Wanachokifanya kipo kwenye fikra za Raia wengi Afrika na Duniani lakini wamekosa courage.Gen Z wameshaishinda hofu,Serikali ya Kenya ipo Mateka!
Kinachohitajika ni kuongeza Uwazi kwenye Uendeshaji wa Nchi,Serikali iwajibike hasa kwa wananchi.
Kingine kimechochea hizi vurugu ni wanasiasa Wakenya kuishi Maisha ya anasa na kuyaonyesha mbele ya Umma wa watu maskini.Hadhi ya Utajiri kwa Kenya inaendana na Ujivuni wa hali ya juu.Hilo jambo limewakera Raia wengi,hasa Vijana.

Yaani Wananchi wanabanwa Live,upande wa Pili wanasiasa wanaishi very lavishly live!

Jazba ya Umma wa Kenya imepanda,na sababu wanazo.
Ruto akiwa makini na mnyenyekevu anaweza akavuka salama,lakini akitumia Nguvu,JESHI watamuondoa Madarakani.
 
Maandamano gani ya amani? unavamia biashara za watu wanaiba, unavamia bunge wewe uachwe tu mwisho watakuja hata kwa mkeo. acheni ujinga, andamana kwa amani sawa, hutaki serikali piga kelele na njia halali za kuitoa serikali zipo. Yes wako watu waliandamana kwa nia nzuri lakini wahuni wapo pia waliingia na kuanza kuiba. Unawarushia mawe askari unategemea nini?
hata kama kudeka kwasabb tu ya sheria, basi kule kulizidi mipaka na kiwango cha kuwavumilia , bali kuwaadabisha kidogo 🐒
 
Hao wakalenjin wanapiga mkwara tu,Nchi nzima wakisema wasimame wamtoe huyo mtoto wao,atatoka na wataondoka naye.
Ruto kinachomponza ni ahadi zake alizotoa kwa Wananchi na alichokifanya mpaka kutokea machafuko,ni kama aliwafanyia utapeli.
Ruto bila ya ahadi za asali alizotoa kamwe asingeweza kumshinda Raila.
Ukweli wa mambo alikuwa anaujua,maana alikuwa jikoni lakini bado akawahadaa Wananchi.
Kiwango Cha Uhuru wa fikra ni kikubwa sana kwa Raia wa Kenya,watu kama hawa kuwamobilize ni jambo dogo tu kama kuwasha njiti ya kiberiti.
Ukiwasikiliza vizuri Gen Z,Kama Movement yao itafanikiwa basi watakuwa wameunda Blue Print mpya ya Demokrasia Duniani.Wanachokifanya kipo kwenye fikra za Raia wengi Afrika na Duniani lakini wamekosa courage.Gen Z wameshaishinda hofu,Serikali ya Kenya ipo Mateka!
Kinachohitajika ni kuongeza Uwazi kwenye Uendeshaji wa Nchi,Serikali iwajibike hasa kwa wananchi.
Kingine kimechochea hizi vurugu ni wanasiasa Wakenya kuishi Maisha ya anasa na kuyaonyesha mbele ya Umma wa watu maskini.Hadhi ya Utajiri kwa Kenya inaendana na Ujivuni wa hali ya juu.Hilo jambo limewakera Raia wengi,hasa Vijana.

Yaani Wananchi wanabanwa Live,upande wa Pili wanasiasa wanaishi very lavishly live!

Jazba ya Umma wa Kenya imepanda,na sababu wanazo.
Ruto akiwa makini na mnyenyekevu anaweza akavuka salama,lakini akitumia Nguvu,JESHI watamuondoa Madarakani.
yaani atoke madarakani hivi hivi kweli?🤣

na ikiwa hivyo,
hayupo miongoni mwao atakae ingia madarakani asitolewe kwa nguvu, kama mistake ya kumtoa Ruto kinguvu itafanikiwa 🐒

hakuna malaika kenya,
anaeweza kuongoza bila kodi, tozo na ushuru, Lazima wananchi walipe kodi, ili serikali wakalipe madeni yao ya nyuma na kukamilisha miradi ya maendeleo, licha yakwamba pia wanazo rasilimali asili za kutosha pia...

kuhusu ahadi,
hivi kwa miaka miwili unatekeleza ahadi gani kwa mfano kwa nchi kubwa kama ile? tuwe waungwana kidogo. miaka miwili ni ya upembuzi yakinifu na phisibility studies tu gentleman 🤣

rushwa kweli ipo na imekithiri mno Kenya. haihitaji mihemko, jazba na uharibifu kudeal nayo.
Mnalalamiki, mnaketi chini pamoja, mnaseti mipango ya pamoja kukabiliana nayo 🐒

maafa ya kutisha yatatokea kenya wasipojizuia wanachokusudia kukifanya, watarudi nyuma mno kimaendeleo kisiasa, kijamii na kiuchumi...

umaskini wa kutupwa utarejea Kenya 🐒
 
Hao machalii ni kama sasa hawajui wanataka nini.

Wanataka raisi atoke au kero zao zisikilizwe na kutatuliwa. Ndio demokrasia hiyo wametumia haki yao kikatiba ya kuandamana, waliyoyataka yamepata ufumbuzi.

Watulie sasa, binafsi hili vuguvugu la Ruto maust go wala siliafiki japo sio mkenya.
 
Uzi uko kimtego fulani hivi...
Anyway ni suala muda tu,,,muda wowote Uganda inaweza kutokea.
Kwetu Tanzania haiwezi kutokea hadi 2035,..
una maoni mazuri for sure,
mie naona Tz haiwez kutokea kabisa 🐒
 
vuguvugu la mabadiliko linalochochewa na vijana hususan Africa Mashariki, yaani katika nchi za Kenya, Tanazania, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia, Sudani Kusini, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, limechukua sura mpya hivi sasa....

mathalani,
kuibuka kwa gen z wa Kenya kulichochewa zaidi na hali ngumu ya maisha, ikiambatana na ukosefu wa ajira, rushwa iliyokithiri, kodi, tozo na ushuru ambao uliongezwa maradufu na kuboreshwa zaidi kwenye musuada wa fedha kwa mwaka 2024/2025 kitu ambacho kiliwaunganisha vijana wa kenya bila kujali ukabila wao na kuupinga kwa maandamano ya amani, kushinikiza muswada huo tata kurekibishwa...

na hata baada ya sauti, maoni, mahitaji na matakwa yao kuskizwa,
na hatimae Rais wa Jamuhiri ya Kenya kulazimika kuufutilia mbali musuada huo muhimu wa kikatiba, na majuzi kuwafuta kazi mawaziri wake wote na kumfuta kazi mkuu wa jeshi la polisi Kenya. hivi sasa Dr. William Ruto yuko mbioni kuunda baraza ka mawaziri, huenda likawa na sura ya umoja wa kitaifa likijumuisha wapinzani na vijana....

bado gen z wanapanga kuendelea kuandamana, huku wakiibua madai mengine mapya kabisa, kama vile kumtaka na kumshinikiza Rais William Ruto, waliemchagua wenyewe kihalali kikatiba katika uchagizi mkuu wa kidemokrasia uliyofanyika Aug.2022, na kuthibitishwa na mahakama huru ya Kenya, eti aachie ngazi, dah....

kwa muda sasa muungwana,
Dr.William Ruto amekua akitoa wito kwa gen z na makundi mengine ya kisiasa, kiraia na kidini kuja pamoja katika meza ya mazungumzo, kujadili na kuamua pamoja namna bora ya kukidhi na kuboresha hali za maisha, ajira na mambo yanayolalamikiwa....

lakini wamekaidi na kudinda wito huo muhimu sana kwa umoja, utangamano, maendeleo na amani ya waKenya wote...

PLO Lumumba,
mara kwa mara amewaasa na kuwakanya wakenya katika ujumla wao kutafuta suluhu za kistaarabu na amani, katika makosa, dosari na kasoro zinazoonekana na zisizo onekana ndani na nje ya serikali yao, zinazowaathiri waKenya wote kwa ujumla wao nakutafuta suluhu ya amani...
vinginevyo hayupo atakae kua salama likitokea la kutokea,

watakao athirika, watakao umia, watakao poteza maisha, na kuirudisha kenya nyuma ni wenyewe. Ni vizuri kujizuia na ghadhabu katika kutafuta majawabu ya changamoto zinazotukabili...

Ndugu wanafamilia wenzangu wa JF,
kutoka maandamano ya amani, hadi maandamano ya uharibifu, uporaji, ghasia na mauaji, Je, kuna nguvu, ushawishi, uchochezi au ufadhili wa kisiasa nyuma yake kutoka ndani au nje ya nchi?

unadhani Dr.William Ruto atakubali kuondoka madarakani kwa maandamano tu au atajitea? unadhani nini kitatokea?
wakalenjini wanadai kusimama, kumlinda na kumchunga mtoto wao dhidi ya watakao mletea fujo, hii ina ashiria nini?

baada ya kenya ,
ni wapi vuguvugu hili la gen z linaelekea miongoni mwa nchi za Africa Mashariki :pulpTRAVOLTA:
Si waje na bongo tz. Hawa mafisadi wanaitafuna sana hii jamhuri. Sema tumelala mazombi sie. Namna hawa mafisadi wanaongezea watu kodi ili wap wafaido ma VX V8 nk ni haki vijana kudai nchi yao
 
yaani atoke madarakani hivi hivi kweli?🤣

na ikiwa hivyo,
hayupo miongoni mwao atakae ingia madarakani asitolewe kwa nguvu, kama mistake ya kumtoa Ruto kinguvu itafanikiwa 🐒

hakuna malaika kenya,
anaeweza kuongoza bila kodi, tozo na ushuru, Lazima wananchi walipe kodi, ili serikali wakalipe madeni yao ya nyuma na kukamilisha miradi ya maendeleo, licha yakwamba pia wanazo rasilimali asili za kutosha pia...

kuhusu ahadi,
hivi kwa miaka miwili unatekeleza ahadi gani kwa mfano kwa nchi kubwa kama ile? tuwe waungwana kidogo. miaka miwili ni ya upembuzi yakinifu na phisibility studies tu gentleman 🤣

rushwa kweli ipo na imekithiri mno Kenya. haihitaji mihemko, jazba na uharibifu kudeal nayo.
Mnalalamiki, mnaketi chini pamoja, mnaseti mipango ya pamoja kukabiliana nayo 🐒

maafa ya kutisha yatatokea kenya wasipojizuia wanachokusudia kukifanya, watarudi nyuma mno kimaendeleo kisiasa, kijamii na kiuchumi...

umaskini wa kutupwa utarejea Kenya 🐒
Wacha utokee ili wanyooke, ila kwa sasa wacha waendelee na vuguvugu. Kuna hasi na chanya
 
vuguvugu la mabadiliko linalochochewa na vijana hususan Africa Mashariki, yaani katika nchi za Kenya, Tanazania, Uganda, Rwanda, Burundi, Somalia, Sudani Kusini, Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC, limechukua sura mpya hivi sasa....

mathalani,
kuibuka kwa gen z wa Kenya kulichochewa zaidi na hali ngumu ya maisha, ikiambatana na ukosefu wa ajira, rushwa iliyokithiri, kodi, tozo na ushuru ambao uliongezwa maradufu na kuboreshwa zaidi kwenye musuada wa fedha kwa mwaka 2024/2025 kitu ambacho kiliwaunganisha vijana wa kenya bila kujali ukabila wao na kuupinga kwa maandamano ya amani, kushinikiza muswada huo tata kurekibishwa...

na hata baada ya sauti, maoni, mahitaji na matakwa yao kuskizwa,
na hatimae Rais wa Jamuhiri ya Kenya kulazimika kuufutilia mbali musuada huo muhimu wa kikatiba, na majuzi kuwafuta kazi mawaziri wake wote na kumfuta kazi mkuu wa jeshi la polisi Kenya. hivi sasa Dr. William Ruto yuko mbioni kuunda baraza ka mawaziri, huenda likawa na sura ya umoja wa kitaifa likijumuisha wapinzani na vijana....

bado gen z wanapanga kuendelea kuandamana, huku wakiibua madai mengine mapya kabisa, kama vile kumtaka na kumshinikiza Rais William Ruto, waliemchagua wenyewe kihalali kikatiba katika uchagizi mkuu wa kidemokrasia uliyofanyika Aug.2022, na kuthibitishwa na mahakama huru ya Kenya, eti aachie ngazi, dah....

kwa muda sasa muungwana,
Dr.William Ruto amekua akitoa wito kwa gen z na makundi mengine ya kisiasa, kiraia na kidini kuja pamoja katika meza ya mazungumzo, kujadili na kuamua pamoja namna bora ya kukidhi na kuboresha hali za maisha, ajira na mambo yanayolalamikiwa....

lakini wamekaidi na kudinda wito huo muhimu sana kwa umoja, utangamano, maendeleo na amani ya waKenya wote...

PLO Lumumba,
mara kwa mara amewaasa na kuwakanya wakenya katika ujumla wao kutafuta suluhu za kistaarabu na amani, katika makosa, dosari na kasoro zinazoonekana na zisizo onekana ndani na nje ya serikali yao, zinazowaathiri waKenya wote kwa ujumla wao nakutafuta suluhu ya amani...
vinginevyo hayupo atakae kua salama likitokea la kutokea,

watakao athirika, watakao umia, watakao poteza maisha, na kuirudisha kenya nyuma ni wenyewe. Ni vizuri kujizuia na ghadhabu katika kutafuta majawabu ya changamoto zinazotukabili...

Ndugu wanafamilia wenzangu wa JF,
kutoka maandamano ya amani, hadi maandamano ya uharibifu, uporaji, ghasia na mauaji, Je, kuna nguvu, ushawishi, uchochezi au ufadhili wa kisiasa nyuma yake kutoka ndani au nje ya nchi?

unadhani Dr.William Ruto atakubali kuondoka madarakani kwa maandamano tu au atajitea? unadhani nini kitatokea?
wakalenjini wanadai kusimama, kumlinda na kumchunga mtoto wao dhidi ya watakao mletea fujo, hii ina ashiria nini?

baada ya kenya ,
ni wapi vuguvugu hili la gen z linaelekea miongoni mwa nchi za Africa Mashariki :pulpTRAVOLTA:
kenya siyo Tanzania' kule hakuna machawa kama yale ya lumumba
mapandikizi ya vyama vya siasa. kwamba wenzao wanatangaza maandamano wao wanaandaliwa PRESS na TISS ILI KUPINGA MAANDAMANO
Hapa kwetu ungesikia wakikuambia watangulize4 familia zao kwanza alloo
 
Back
Top Bottom